Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyans abroad.

1740872410846.jpeg
 
Ili ni jibu zuri Sana. Ni nani yuko anti trees hapa between two count
20250225_184205-jpg.3255303


These people from kenya. Don't understand advantages za hiz systems. Because they don't have them

Mimi nasema, yes BRT systems ina some challenges especially management...lakini ukishapanda hata ukisimama utafika haraka sana. Same us such metros, subways.
Let's wait tuone hizo 200+ buses that will be added to system this month. Kama wanasema ukweli..

Anyway nimependa ile Application yao ya Mwendokasi app. Iko frsh sana na ni rahisi kukata ticket, kuweka hela kutoka Mpesa na kuscan kuliko kununua yale makadi. Nadhani wanataka wauze kadi zao ndo maana hawaifanyii marketing ya kutosha....lakin mtu kama una smartphone huna haja ya kununua makadi yale. Ngoja waongeze mabasi, this system will be the best.

Halafu mtu anakwambia Nairobi is technologically advanced than Dar, in Dar we use our phones to scan and go to Trains, BRT Buses, sea taxes, stadiums, bus stands etc

Hii ni mwendokasi app, very efficient and very intergrated with location based systems (GIS)
And wanatumia kiswahili pia.
This response above can be summarized in two ways: either you didn’t comprehend what I was saying or you agree with me that Nairobi trees is a good thing . Capiche?..😁😁
 
is there an oath that you guys swear on before you’re given an ID? Or is it just the culture to deny in broad daylight. I don’t get it. So all these people (daily users) are also like meView attachment 3255294
View attachment 3255292
View attachment 3255297View attachment 3255298
Ona vile watu wanaskumana na kukimbilia basi

View: https://youtu.be/YKTh3Qp9_nY?si=2QNOv8oVEGEcRh_h

You must have few lose screws in your head. It's normal during rush hour. This is my last response.
 
Wewe na nani ambao mlipewa kazi ya kusema huu ni mkataba mzuri au mbaya? 😁😁

Hii ni bei kubwa au ndogo? 😁😁

Acha ujinga
tulielezewa na kwa tanzania hii awamu ya mkwere inaeleweka mambo yalisainiwa ovyo ovyo hata siwez kukataa😂😂😂😂

watu walikua wanafunga bara nzima yote ni pesa za ufisadi na rushwa au nadanganya?
 
tulielezewa na kwa tanzania hii awamu ya mkwere inaeleweka mambo yalisainiwa ovyo ovyo hata siwez kukataa😂😂😂😂

watu walikua wanafunga bara nzima yote ni pesa za ufisadi na rushwa au nadanganya?
Ovyo ovyo ndio inakuaje?

Mlielezewa na nani na Sasa hivi mnaelezewa na nani?
 
Back
Top Bottom