Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa

1740923393971.jpeg

1740923876415.jpeg

1740924007626.jpeg

1740924097854.jpeg

1740924274208.jpeg
 
mm nishatembea kenya nzima sehemu sijafika kenya ni huko turkana na lamu sasa sijui utanidanganya nn ww kunguni😂
Lamu nilifika 2017,kuna cousin wangu ameolewa huko,aisee,kuna umaskini wa kutisha,ule mchele wanaokula watu wa lamu ni huruma,binafsi nilikula ili kutomlate down my cousin,kenya kuna umasikini aisee!
 
Mmekuwa visited na watu 5.36M na international total airport passengers (both leaving and entering and both international and local) hawafiki 5M, kwani hao tourists walikuwa wanaingilia wapi.🤣🤣 Hii ndio shita ya kutumiwa Twitter kama source of information.
Wameanza kupika data 😭
 
kwann idadi ya watalii wa nje imezidiwa sana namna hio kuna shida gani???
Kwa sababu Watanzania mama ameimarisha kipato Cha Watanzania

Kwa sababu Watanzania Sasa wanaelewa kwamba Utalii sio kusubiria wageni.

Mwisho African Countries ndio zimechangia watalii wengi zaidi kwenye namba hiyo ya Watalii wa Nje.
 
Back
Top Bottom