REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 2,293
- 8,231
Walionunua ni TRC kwakua walidhani mpya zingechelewa. Urefu haujazidi wewe.Hayo mabehewa hayavuki hata moro kwa taarifa yako maana urefu yamezidi na hayawez pita kwenye mahandak ya kilosa . Sasa mwendazake wakati alazimisha tulipe kwa cash hakujua hilo?