Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hio korosho unayoisifu leo iliwekewa mikakati maalumu na walifanikiwa mpaka kutumia bandari ya mtwara kama key port yao au urongooo😂😂😂😂😂

Acha kutapatapa Sasa hii taarifa Yako Ina mikakati au matanazo ya serikali kununua korosho Kwa Kupeleka wajeda kusomba 😂😂

Weka hapa mikakati ya awamu ya 5 iliyopaisha korosho maana bei ilikuwa buku jero kabla ya matangazo ya Kisiasa baada ya wanunuzi kuweka ngumu 😂😂

Mwisho kwani saizi umewahi sikia korosho imedoda au serikali inanunua na kutuma Jeshi kusomba 😂 😂 😂
 
sema sisi ni wasahaulifu sana na yote uchawa na ujinga umetujaa vichwani😂😂

hilo zao unalolitaja lilifanywa kua zao kuu la 6 la biashara na huyo huyo usompenda aliewanyoosha mpaka nchi ikanyooka 😂😂😂

View: https://www.youtube.com/watch?v=_8gjaH6-VZM

Kama lilufanywa na mkaliwekea mikakati kama unavyoleta stori za propaganda bila namba iweje halipo kwenye mazao yanayoleta pesa za kuzidi Nchini?
 
Acha kutapatapa Sasa hii taarifa Yako Ina mikakati au matanazo ya serikali kununua korosho Kwa Kupeleka wajeda kusomba 😂😂

Weka hapa mikakati ya awamu ya 5 iliyopaisha korosho maana bei ilikuwa buku jero kabla ya matangazo ya Kisiasa baada ya wanunuzi kuweka ngumu 😂😂

Mwisho kwani saizi umewahi sikia korosho imedoda au serikali inanunua na kutuma Jeshi kusomba 😂 😂 😂
simulikataa kununua akasema serekali itanunua kwa bei ya 3300 jambo ambalo halijawah kutokea toka tumepata uhuru😂😂

haiwezi doda kwa sasa kwasababu mipango mikakti iliandaliwa vzr kwa kuondoa madalali katikati ya biashara na kuufanya biashara ya moja kwa moja kutoka kwa wakulima, hapo biashara itadoda vp wakat hao hao madalali ndio walikua wanakwamisha biashara 😂😂😂

yani tumesahau kabisa🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 
Kama lilufanywa na mkaliwekea mikakati kama unavyoleta stori za propaganda bila namba iweje halipo kwenye mazao yanayoleta pesa za kuzidi Nchini?
si mumerudisha mafisadi juu ya meza unafkiri wafanybiashara wanaoleta mafuta ya kula watashangilia na watakubali mazao ya michikichi yapandwe na kiwanda kijengwe? 😂😂😂😂😂

wakat mwengine nchi inaongozwa kwa maamuzi magumu sana
 
Umesikia wapi wafanyabiashara wanaolima alizeti na ufuta wakisema mafisadi wamewanyima soko ?

Utopian thinking ndio maana mliharibi uchumi Kwa akili za kijinga kama hizo 😁😁

Sasa kw taarifa Yako tuu Mama ameondoa madalali Kwa njia ifuatayo 👇 👇

View: https://www.instagram.com/reel/DFz7hyNCfwa/?igsh=dzJvN2IyaG1qemh0
 
simulikataa kununua akasema serekali itanunua kwa bei ya 3300 jambo ambalo halijawah kutokea toka tumepata uhuru😂😂

haiwezi doda kwa sasa kwasababu mipango mikakti iliandaliwa vzr kwa kuondoa madalali katikati ya biashara na kuufanya biashara ya moja kwa moja kutoka kwa wakulima, hapo biashara itadoda vp wakat hao hao madalali ndio walikua wanakwamisha biashara 😂😂😂

yani tumesahau kabisa🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Sema mliua sekta binafsi unajizunguaha zungusha Kwa nini?

Saizi wananunua tena Kwa bei kubwa Kwa sababu gani? 😁😁

Hadi umeshindwa kueleza hicho unachoitwa mipango mikakati 😆😆
 
Kasarani
Screenshot_2025-02-28-19-24-32-52_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Watu hawafungi humu ni kupigizana kelele tu na wachambia karatasi wa kundurenda republic. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom