Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa watalii wa ndani wanakuwaje visitors? πŸ˜‚ πŸ˜‚ Ndio maana huwa nasema humu hizi data za tourism za Kenya na Tz huwa hazimake sense. There's something that's never been clear to me.
We've been receiving more visitors by far alafu wanasema wanapata pesa kutushinda.
JKIA alone handles over 8M passengers, all their airports combined hazifiki hata 5M - bado waseme wanapata more than us.
There is a lot of cooking and opacity in your data. Sasa Kenya tunaweka visitors, nyinyi mnajiweka wenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚. Doesn't even make sense. How do you even determine you were a visitor in your own country and the other person was not?
Zetu zinatolewa na UNWTO zenu zinatolewa na a wheelbarrow party secretary in charge of brainwashing paupers

20250303_062825.jpg
20250303_062824.jpg
 
Alieanzisha TMX ni Magufuli for your information through public social security fund.

View attachment 3257094
The exchange was the idea of President Jakaya Kikwete, who wanted to emulate a similar model in Tanzania after visiting the Ethiopia Commodity Exchange.[6] The exchange was licensed by the Capital Market and Securities authority of Tanzania and incorporated on 25 August 2014.[7] The Exchange was inaugurated in November 2015 by Jakaya Kikwete and commenced operations in Sesame seeds in 2019.[3][5]

Kweli alianzisha magufuli mwaka 2014?
 
Alieanzisha TMX ni Magufuli for your information through public social security fund.

View attachment 3257094
TMX was incorporated on 25th August 2014 to perform the business of a commodity exchange in Tanzania. The Exchange has been established as a public private partnership company. The first four shareholders of the company are the Treasury Registrar, TIB Development Bank, Public Service Pension Fund (PSPF) and the Tanzania Federation of Cooperatives (TFC). The Exchange is regulated by the Capital Markets and Securities Authority (CMSA) under the Commodity Exchanges Act, 2015.
 
Zetu zinatolewa na UNWTO zenu zinatolewa na a wheelbarrow party secretary in charge of brainwashing paupers

View attachment 3257063View attachment 3257064
Wanapika Data sana hao. Kwanza walisubiri waone figure za Tanzania. Ila ukweli wanaujua wenyew.

Hata Data za Mombasa port sio za kweli. Dar ukiangalia kwenye ships in port and expected ships. Dar port huwa ina ships nyingi na busier kuliko Mombasa siku zote. Lakin wakitoa Data wanasema wahudumia tani sijui ngap huko. Ni waongo waongo tu. Tushawazoea
 
Alieanzisha TMX ni Magufuli for your information through public social security fund.

View attachment 3257094
Kama alianzisha ilikuwaje kukawa na madalali kwenye korosho na mazao mengine?

Kama alianzisha ilikuwaje bei ziliporomika mazao na Kilimo kikadoda?

Kama all anzisha hiyo kwa nini wanunuzi wakimbie? Kwa nini Kilimo badala ya Kukua kilididimia as opposed to now?

Mwisho mambo yanafanyika kimtandao "online" wewe unaleta habari za kujaza fomu manually.

View: https://www.instagram.com/p/DF0blC3N2_m/?igsh=MTRkcHBjMndzbHBvMw==
 
Kuna mabadiliko ya mpaka oktoba 2024 ila wamekaririshwa kuwa magu ndo alifanya mabadiliko.
Kuhusu mazao wanazungumzia eti kulikuwa na walanguzi kwahiyo ikabid jwtz wafanye manunuzi walipopeleka sokoni wakajikuta wanakosa pa kuuzia korosho nyingi ikaharibikia maghalani.
Kimechofanya mazao yapande ni unahisi wa kupata leseni za kuexport na minada ya mazao.
Kipindi cha nyuma wanunuzi walikuwa wanaweka tawi dar na kuwapa mawinga wakawanunulie mazao kukawa na wizi mkubwa sana na kwa sabab mawinga nao walikuwa wanataka faida wakawa wanawanyonya wakulima . Sasa hivi manunuzi ananunulia ghalani Tena akiwa kwa idadi anayoitaka akiwa na bei nzuri.
Maghala yamevutia wanunuzi wengi kukimbilia Tanzania kwa sabab mnunuzi anakuwa na uhakika wa mzigo kuliko kutumia mawinga kama nchi zinazotuzunguka
Hawa mbuzi wa Mwendazake wanaongeza nonsense baada ya kuona Mama ame outshine the so called legacy sijui historia and such nonsense blaa blaa 😁😁

Haa hapa watakwambia ni Magu alijenga πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DGs40v1oYew/?igsh=OTFudzFjOHNubnJ6

I only appreciate Magu kwenye masuala machache of my interest Kwa mfano
1.Dom kuwa HQ Kwa uhalisia was
2.Bwawa la Nyerere
3.Ku instill hofu Kwa Watendaji/Watumishi wa Serikali (sio Wanasiasa wenzie wazi) Kwa sababu Kwa asili mbongo anatakiwa kusukumwa Ili afanye jambo Kwa ushahidi


Ila kwenye Uchumi I count him as failure
 
Back
Top Bottom