Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua ni ghorofa ngapi na ni miradi ngapi au unaropokwa tu?
Wewe ni fala nini.? Unanichukuliaje.? Nyumba elfu 4 unazijua.? Au unaropoka tu.? 🤣🤣🤣. Yani tena umekaza fuvu.? Project si ndio hii 👇🏾
IMG_5275.jpeg
IMG_5276.jpeg
Hiki ni kijiji mzee sio jiji. Hakuna jiji linakaa hivi. 🤣🤣🤣
 
Mbona unazunguka zungu ka.?🤣🤣🤣 kwanza kwanini hata hiyo iwe ni mada ya kujadili.? Does it change Kisumu ni kijiji .? 🤣🤣🤣
Na ujue zote ziko under construction. Utaumia sana LV Marina ikianza. 🤣 🤣
 
Wewe ni fala nini.? Unanichukuliaje.? Nyumba elfu 4 unazijua.? Au unaropoka tu.? 🤣🤣🤣. Yani tena umekaza fuvu.? Project si ndio hii 👇🏾View attachment 3259168View attachment 3259169Hiki ni kijiji mzee sio jiji. Hakuna jiji linakaa hivi. 🤣🤣🤣
Ushaanza kumwaga puvu na Kazi bado 🤣🤣🤣. Blue print ya hio Anderson project ndio hii hapa, 11 blocks 15 floors each, hii Imeshinda Mwanza na Arusha combined.
-73ukt9.jpg
 
Back
Top Bottom