BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

Okay okay basi huu Uzi itabidi nimkabidhi yaani akijisikia anataka kuchafua aje hapa akutag tu na sio kwenda kuchafua nyuzi za watu maana leo kuna Uzi wa Zahra White aliuvamia mpaka wakagombana na mwenye uzi hivyo hii sio tabia nzuri at all.
Humble ni mwanaume wangu halali kabisa hii ni vita ya kifamilia na tumeishinda naomba nikampikie chai ya maziwa,chapati ya cowboy.
 
Wewe jamaa yangu unafurahisha sana... Eti BMW na TREKTA... Irrelevant!

Dogo ajifunze kuheshimu watu wote bila kujalisha chochote.. Ndio maisha hayo, mbona Mimi wewe sikujui lakini nakuheshimu Mkuu?

Tukiheshimiana tutapenda na kuthaminiana.
Huyu kijana bila shaka haijui ladha ya kuheshimiana aisee but angekuwa anaijua kamwe asingekuwa anafanya ayafanyayo kabisa.Hajui km hii ni bahari humu kuna watu ambao akiwaona basi anaweza kushangaa kama ndo wao anaowatukana ovyo
 
Kwa masikitiko makubwa KURA inaenda kwa Humble African
 
Aaaaaaa hivi Humble African ushabadilisha no au ile ile nikutafute unfundishe forex remember we have unfinished business,
 
Hata Mimi nilikuja kujua majuzi tu na nililazimika kuungainsha dots flani hivi ikiwemo hii. Baada ya yeye kuanza kumtusi hadi Mungu... Huyu atakuwa mwehu sio bure.View attachment 827677
Kama alikua padri mcharo ni moja kati ya watu nilie mripoti kwa mods akafungiwa.Na bado nitamripoti tena na tena mpaka atakapo heshim iman za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…