BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

Okay okay basi huu Uzi itabidi nimkabidhi yaani akijisikia anataka kuchafua aje hapa akutag tu na sio kwenda kuchafua nyuzi za watu maana leo kuna Uzi wa Zahra White aliuvamia mpaka wakagombana na mwenye uzi hivyo hii sio tabia nzuri at all.
Humble ni mwanaume wangu halali kabisa hii ni vita ya kifamilia na tumeishinda naomba nikampikie chai ya maziwa,chapati ya cowboy.
 
Wewe jamaa yangu unafurahisha sana... Eti BMW na TREKTA... Irrelevant!

Dogo ajifunze kuheshimu watu wote bila kujalisha chochote.. Ndio maisha hayo, mbona Mimi wewe sikujui lakini nakuheshimu Mkuu?

Tukiheshimiana tutapenda na kuthaminiana.
Huyu kijana bila shaka haijui ladha ya kuheshimiana aisee but angekuwa anaijua kamwe asingekuwa anafanya ayafanyayo kabisa.Hajui km hii ni bahari humu kuna watu ambao akiwaona basi anaweza kushangaa kama ndo wao anaowatukana ovyo
 
Jina langu ni CCNP Engineer.
Nina degree ya Telecommunications Engineering.
Mimi ni Engineer wa computer networks (security and data center)


Mimi kama engineer hata siku moja siwezi kulinganishwa na mtu alosoma HKL. Topic moja ya chemistry (ORGANIC) nilosoma A-level ni equivalent to syllabus yote ya HKL form five na six jumlisha na GS.

Mimi kama mwanaume, ni udhalilishaji mbaya kabisa kunilinganisha na PUGI. Mimi sio PUGI, bali ni mwanaume. Waulizeni akina Rebeca 83 na amu na theriogenology na baba swalehe, wao ni mashahidi katika hili.

Huyu PUGI aliletaga UNAFIKI kwenye magroup ya TMT alivogundulika akatimuliwa na chyupi kichwani na Screenshort ninazo, na akibisha naweka namba yake ya cm hapa. Alikua Anatumia nickname ya Spiritual Crypto.

Conlusion:
Kumlinganisha Engineer na PUGI ni sawa na kusema kati ya FLOYD MAYWEATHER na CRISTIANO RONALDO nani mkali (Does it make any sense???)


Sifananishwi na wabwekaji!!!

Engineer atabaki kuwa Engineer, PUGI atabaki kuwa PUGI.
Hivo rasmi huu Uzi umefungwa. Hakuna maana. Ni udhalilishaji.
Kwa masikitiko makubwa KURA inaenda kwa Humble African
 
Aaaaaaa hivi Humble African ushabadilisha no au ile ile nikutafute unfundishe forex remember we have unfinished business,
 
Hata Mimi nilikuja kujua majuzi tu na nililazimika kuungainsha dots flani hivi ikiwemo hii. Baada ya yeye kuanza kumtusi hadi Mungu... Huyu atakuwa mwehu sio bure.View attachment 827677
Kama alikua padri mcharo ni moja kati ya watu nilie mripoti kwa mods akafungiwa.Na bado nitamripoti tena na tena mpaka atakapo heshim iman za watu.
 
Back
Top Bottom