hapo unakoseaKuna watu nilikuwa nawapa heshima sana humu jf, ila kadri siku zinavyokwenda nazidi kuwaona ni vichwa wazi tu. Inasikitisha sana.
Naunga mkonoKuna watu nilikuwa nawapa heshima sana humu jf, ila kadri siku zinavyokwenda nazidi kuwaona ni vichwa wazi tu. Inasikitisha sana.
Na kweli na Mimi naunga mkono hoja.Naunga mkono
Mkuu mie nimepitwa screenshot ilikua na million ngapi ?
Hahaha mkuu siyo kwa matusi hayo kwa lefake engeneerengineer mdogo wangu piga picha hata elfu hamsini uweke hapa , kuna wanawake wao iliyopo hiyo hiyo watatupa hata nusu point hawaachi kitu.
Brother funga huu mjadala ,kwa heshima na taadhimaNa kweli na Mimi naunga mkono hoja.
Hahaha, Shem umetisha,tufanye mjadala umeishaKwa ufupi mume wangu ana pesa sana kwanza kunimiliki mimi lazima awe na pesa salio kaweka dogo sana account haitumiki 5,000,000,hater aliahidi 50,000 kwa amu week imeisha,kwa niaba ya mume wangu namrushia amu 50,000 na fidia ya sh 70,000 jumla 120,000 amu naomba uweke message ya pesa humu sasa hivi nakuja pm
inawezekana.hapo unakosea
Engineer uko wapi? Nimemaliza popcorn zangu bure afu we umekimbiaJina langu ni CCNP Engineer.
Nina degree ya Telecommunications Engineering.
Mimi ni Engineer wa computer networks (security and data center)
Mimi kama engineer hata siku moja siwezi kulinganishwa na mtu alosoma HKL. Topic moja ya chemistry (ORGANIC) nilosoma A-level ni equivalent to syllabus yote ya HKL form five na six jumlisha na GS.
Mimi kama mwanaume, ni udhalilishaji mbaya kabisa kunilinganisha na PUGI. Mimi sio PUGI, bali ni mwanaume. Waulizeni akina Rebeca 83 na amu na theriogenology na baba swalehe, wao ni mashahidi katika hili.
Huyu PUGI aliletaga UNAFIKI kwenye magroup ya TMT alivogundulika akatimuliwa na chyupi kichwani na Screenshort ninazo, na akibisha naweka namba yake ya cm hapa. Alikua Anatumia nickname ya Spiritual Crypto.
Conlusion:
Kumlinganisha Engineer na PUGI ni sawa na kusema kati ya FLOYD MAYWEATHER na CRISTIANO RONALDO nani mkali (Does it make any sense???)
Sifananishwi na wabwekaji!!!
Engineer atabaki kuwa Engineer, PUGI atabaki kuwa PUGI.
Hivo rasmi huu Uzi umefungwa. Hakuna maana. Ni udhalilishaji.
Mkuu promota niko hapa hili pambano linahesabiwa kura na EFD Machine sasa hatuwezi poteza nguvu na resources kuchukua mashine TRA then tuahirishe pambano bila kura kuhesabiwa na mshindi kupewa risiti yake.Brother funga huu mjadala ,kwa heshima na taadhima
Shimoni kajificha aisee itabidi alipe fidia hawezi kukimbia pambano na kunipotezea gharama zanguEngineer uko wapi? Nimemaliza popcorn zangu bure afu we umekimbia
Brother huu mjadala huko huku chit chart na kila mtu ana haki ya kusema anachotaka regardless what, thus no matter what unatakiwa mjadala ufe wenyewe tu natural death unless utaendelea tu na battle itaendelea.Brother funga huu mjadala ,kwa heshima na taadhima
Genuinely we jamaa una comedy sana.. Yaani nacheka hadi napaliwa, [emoji16][emoji16][emoji16] unavyombana kwenye angle mbaya jamaa.engineer mdogo wangu piga picha hata elfu hamsini uweke hapa , kuna wanawake wao iliyopo hiyo hiyo watatupa hata nusu point hawaachi kitu.
mjadala utaisha pale amu atakaposema kapokea hizo pesa mjini heshima pesaHahaha, Shem umetisha,tufanye mjadala umeisha
carbamazepine njoo tufanye mpango wa kutumiwa muamala hapa[emoji39][emoji39][emoji39]
Hapo ndipo ninapokupendea, hujawahi kuniangusha.... Haya twen'zetu Msata kabla hawajatuwahi wenzetu [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]besti nimeona ngoja twende kwa mshana kabisa yasijetokea yale ya awali