BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

yaani shoga hapa humble katutukana wasomi tena kisomi zaidi kampa pesa mke wake anitumia yaani jamani nyie watu hawana maneno mengi sahivi hapa tunachat wao kimya na zahra aliaga alisema anaenda kunanilii nae jamani mweee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mida ya watu wazima kucheza hii acha wakacheze!kidali poo!

Ushapewa chako sasa tuanze kujenga heshimaa
 
naunga mkono hoja,tena mie aache kabisa kunimention wala kunitag ,nataka wanitag Zahra na humble tu yeye atulie kabisa aibu aliyonsababishia ni kubwa sana
hafai kabisa yule 😂😂😂😂😂

alimbeep humble kuhusu salio la bank humble kampigia kabisa... jamaa kaingia mitini
 
hafai kabisa yule 😂😂😂😂😂

alimbeep humble kuhusu salio la bank humble kampigia kabisa... jamaa kaingia mitini
mimi nlimuona hafai toke siku ile aliposema alipo hakuna huduma za kibank jamani wakati bank karibia zote zinaoperate kidijital na kuna onlne banking za mabele kibao cetified injinia 50,000 imemshinda mweee yaani leo mambo ni humble na Zahra tu,bwana kaweka salio bibi katuma pesa watu oyooooooo
 
Woyoooooo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
mimi nlimuona hafai toke siku ile aliposema alipo hakuna huduma za kibank jamani wakati bank karibia zote zinaoperate kidijital na kuna onlne banking za mabele kibao cetified injinia 50,000 imemshinda mweee yaani leo mambo ni humble na Zahra tu,bwana kaweka salio bibi katuma pesa watu oyooooooo
hahahahah.... heshima ziende kwa bwana na bibi humble 😂😂
 
hahahahah.... heshima ziende kwa bwana na bibi humble 😂😂
Kwanza injinia atuambie mwanamke wake humu ni nani?
Humble African alishatuonesha mtoto mzuri anayemmiliki humu ndani yeye sasa atuambie aaa tukumbushe kwenye maisha haya vitu viwili tu vinarun dunia mapenzi na pesa humble anavyo vyote
 
Jina langu ni CCNP Engineer.
Nina degree ya Telecommunications Engineering.
Mimi ni Engineer wa computer networks (security and data center)

Mimi kama engineer hata siku moja siwezi kulinganishwa na mtu alosoma HKL. Topic moja ya chemistry (ORGANIC) nilosoma A-level ni equivalent to syllabus yote ya HKL form five na six jumlisha na GS.

Mimi kama mwanaume, ni udhalilishaji mbaya kabisa kunilinganisha na PUGI. Mimi sio PUGI, bali ni mwanaume. Waulizeni akina Rebeca 83 na amu na theriogenology na baba swalehe, wao ni mashahidi katika hili.

Huyu PUGI aliletaga UNAFIKI kwenye magroup ya TMT alivogundulika akatimuliwa na chyupi kichwani na Screenshort ninazo, na akibisha naweka namba yake ya cm hapa. Alikua Anatumia nickname ya Spiritual Crypto.

Conlusion:
Kumlinganisha Engineer na PUGI ni sawa na kusema kati ya FLOYD MAYWEATHER na CRISTIANO RONALDO nani mkali (Does it make any sense???)

Sifananishwi na wabwekaji!!!

Engineer atabaki kuwa Engineer, PUGI atabaki kuwa PUGI.
Hivo rasmi huu Uzi umefungwa. Hakuna maana. Ni udhalilishaji.
Savage [emoji119][emoji119]
 
Kwanza injinia atuambie mwanamke wake humu ni nani?
Humble African alishatuonesha mtoto mzuri anayemmiliki humu ndani yeye sasa atuambie aaa tukumbushe kwenye maisha haya vitu viwili tu vinarun dunia mapenzi na pesa humble anavyo vyote
Kawaonyesha mtoto mzuri au ID nzuri?
 
Back
Top Bottom