BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

Mimi ndo nliyetumiwa pesa no nimeichungulia whatsappp Zahra chuma wewe mimi mpaka nisifie mwanamke mwenzangu ujue chuma hasa tena cha mjerumani
Hehe aya
 
Hata Mimi nilikuja kujua majuzi tu na nililazimika kuungainsha dots flani hivi ikiwemo hii. Baada ya yeye kuanza kumtusi hadi Mungu... Huyu atakuwa mwehu sio bure.View attachment 827677
Babu hapa umenifungua akili Kama huyu mtoto ndio alikuwa padre mcharo basi naomba acha kubattle naye

Pia nimeenza kupata wasi wasi na vyeti vyake kwa hali hii lazima wapiga misuli ya tembo waonekane empty set kabisa
 
nasema ivi kesho asubui mpambano unaendelea labda huyu engineer a unstall jamii forum app laasivyo nitamuwinda kila uzi atakao changia shyine anajifanya ana pesa kumbe huna sikuachi aise
Hahahahaha basi itabidi mashine yetu ya kuhesabu kura ilale kwenye charge ili kesho iendelee na kazi
 
Mpambano unaahirishwa mpaka hapo kesho panapo majaaliwa.Tukutane tena kesho wapiga kura
 
Ahahahhaha injinia kakuangusha sana mwanasayansi mwenzie
Wanasema ukiwa mwongo inabidi uwe na kumbukumbu ,na JF ni kama safe diposit ya BOT,no data lost (sasa watu wamescreen shot pumba za engineer alizokuwa anaandika earlier days zimemwacha uchi
 
Huu uzi nimeanza kuusoma toka saa nane usiku baada ya kukosa nyuzi za kusoma.

Kuugusa tuu nimekuta siachi hata page moja ili nione kama Mwanasayansi mwenzangu angeweza jibu mapigo but where? Ameshindwa kabisa. Amenikumbusha neno nililowahi kupewa na Dr Onesmo Matei kuhusu "Gharama ya Matusi"!

Hakika "atukanaye hushindwa"

Automatically Kura yangu asubuhi hii saa moja hii inaenda kwa aliyeibukia page ya tano na kutamba hadi page ya 22!
 
Kupitia huu uzi nineamini tuliokua tunasapoti pesa ni bora kuliko elimu tulikua sahihi.
Mpaka sasa bwana HA anaongoza.
Nasubiri Eng.. nae aweke nipige kuraa
The end justifies the means,hatusomei sifa tunasomea pesa and in the end good life,ata km umesoma KLF ukiwa na pesa ndio wa maana
 
Naja pm wangu sikutegemea kama injinia atatuvua nguo watu wa hesabu wenziwe!!daah!
Usihofu mama,kushindwa kwa mwanasayansi mmoja hatujashindwa wote!hata wa arts mbona alosto wengi tu,hapa ni engineer mmoja na mtaalamu wa lugha mmoja,character ya mtu ni character yake tu hata asome aerospace engineering au law harvard
 
Usihofu mama,kushindwa kwa mwanasayansi mmoja hatujashindwa wote!hata wa arts mbona alosto wengi tu,hapa ni engineer mmoja na mtaalamu wa lugha mmoja,character ya mtu ni character yake tu hata asome aerospace engineering au law harvard
Nachoweza kusema engineer akili za darasani anazo ila huko alishatoka,atafute akili ya maisha,aache dharau,kejeli na matusi and above all amu acknowledge the Lord almighty ili aweze kutranslate akili yake iwe real success
 
Nachoweza kusema engineer akili za darasani anazo ila huko alishatoka,atafute akili ya maisha,aache dharau,kejeli na matusi and above all amu acknowledge the Lord almighty ili aweze kutranslate akili yake iwe real success
Naam, wazo muhimu sana hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…