Ah ah ah ah ah hilo la kuja hapa tena ndio hata ukimshauri anaona kama huko upande wa humble na unataka aadhirike zaidi hawezi kukubali hilo ahahahahahahHatari kwa injinia aje tu aombe wadau msamaha
Nakazia hapatheriogenology mpigie injinia muulize kwa nini hakuntumia ile pesa katudhalilisha wana sayansi
Aithee upo makin mkwehaya ila kesho imefika sema baadae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] injinia=Mzee jiweSio sahihi kuhitimisha kuwa Humble African anamzidi Engeneer kiuchumi. Utajiri hua unapimwa kwa Net Asset yaani Asset-Liability. Sasa huyo Humble ameonyesha Cash, hajaonyesha upande WA pili WA liabilities (Madeni). By the way, tukubaliane CCNP anahazina kubwa kichwani, kupata cheti cha CCNP ENGENEER sio mchezo. Tatizo la Engeneer ni kukosa maadili, BASI!!!
Mkuu nakutafta ninamazungumzo nawewe kidogo (Men talk)Kuna vitu vya mpinzani wangu CCNP Engineer navisoma hapa hadi najikuta nalazimika kuhoji juu ya uzima wa akili yake na ufaulu wake na taaluma yake kwa ujumla.....tunajua elimu imeporomoka sana nchini ila sio kwa taaluma ya uinjinia.. Hapana! Ndio maana nasisitiza ili lisiwekwe kama tatizo la watu wa sayansi au fani ya engineer, hili ni tatizo la huyu jamaa Ndezi kuna uwezekano akawa psychopath.... Yuko Very naΓ―ve, mediocre and truly insane.
Though, nimecheka sana kwa content yake hiyo hapo chini yenye ujinga na upuuzi uliopita kiwango cha ustaarabu.... Na inatufundisha common sense ndio akili ya kwanza na muhimu kwa mwanadamu, ukikosa common sense huko mmagumu licha ya vyeti vyako vizuri na lukuki. Ingawaje sisi binadamu inabidi tuheshimiane tu na binafsi sichukii yeyote maana atakaenizika simjui.. Na wanaogombana ndio wanaishiaga kuwa marafiki wa kufa na kuzikana ingawaje labda nitangulie kufa mimi injinia anizike lakini akitangulia nikafika mazishini nitacheka sana huko makaburini maana jamaa yangu nilimuona pale TMT kwenye Forex jangid plaza ana kichwa kikubwa sana sasa jeneza lake hopefully litakuwa na muundo kama wa lollipop sababu ya kichwa kikubwa kisicho na common sense. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Injinia tafadhali hebu jitokeze..jionyeshe mbele za waaatu. Maana wanaogombana ndio wanaopatana na udugu ndio hazina yetu. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Si ajabu tukaja kuwa washkaji sana maana Mimi sina kinyongo wala ugomvi na wewe ndugu yangu. No need to worry you got a friend here!
Apparently, ngoja niwape hii bonus kidogo wapiga kura wangu waburudike, Hii hapa ingia ucheke Ni mazingira gani hatari uliwahi kujisaidia haja??
[emoji176]
Mkuu huu mpambano uliishaje?Banghe
Sikuwepo ... Ndo nimefungua jf leoMkuu huu mpambano uliishaje?
Mmoja bw Engineer alipotea mazima na kuhamaMkuu huu mpambano uliishaje?
hahaaa " NN. huwa akijitapa _ watu wote " Mkia kimyaa"daaahh ila JF nyoko" watu wamenipotezea" yule ndugu yangu mwenye jina la dawa aisee
kuna raia walianza kumuandama kwa kumfungulia threads za kumsema" ..so nahisi kapoteza hamasa kwa muda ya kuwa humu"... ...ila vijana walivyomfanyia sio poa aiseeMkuu.. huyu jamaa mwenye jina la dawa, ilikuaje akapotezwa?
HahaahaMnanifanya niplan siku moja niwatoe watoto wazuri wote wa JF somewhere tukutane patulivu for some candlelight dinner, ili tu enjoy na tufurahi maana life is too short kuwa na mastress kama ya injinia Ndezi.
Valentina tuko pamoja best.
[emoji176]
engineer mdogo wangu piga picha hata elfu hamsini uweke hapa , kuna wanawake wao iliyopo hiyo hiyo watatupa hata nusu point hawaachi kitu.
njoo pm nikurushie 5,000 hapo unapata bia 5 au soda 10 ukanywe na familia acha ubishi
Kuna chapat zilipoteamadhumuni ya hii battle ni nini?
hahahaKuna chapat zilipotea