BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

Hatari kwa injinia aje tu aombe wadau msamaha
Ah ah ah ah ah hilo la kuja hapa tena ndio hata ukimshauri anaona kama huko upande wa humble na unataka aadhirike zaidi hawezi kukubali hilo ahahahahahah
 
Sio sahihi kuhitimisha kuwa Humble African anamzidi Engeneer kiuchumi. Utajiri hua unapimwa kwa Net Asset yaani Asset-Liability. Sasa huyo Humble ameonyesha Cash, hajaonyesha upande WA pili WA liabilities (Madeni). By the way, tukubaliane CCNP anahazina kubwa kichwani, kupata cheti cha CCNP ENGENEER sio mchezo. Tatizo la Engeneer ni kukosa maadili, BASI!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] injinia=Mzee jiwe
 
Kuna vitu vya mpinzani wangu CCNP Engineer navisoma hapa hadi najikuta nalazimika kuhoji juu ya uzima wa akili yake na ufaulu wake na taaluma yake kwa ujumla.....tunajua elimu imeporomoka sana nchini ila sio kwa taaluma ya uinjinia.. Hapana! Ndio maana nasisitiza ili lisiwekwe kama tatizo la watu wa sayansi au fani ya engineer, hili ni tatizo la huyu jamaa Ndezi kuna uwezekano akawa psychopath.... Yuko Very naïve, mediocre and truly insane.

Though, nimecheka sana kwa content yake hiyo hapo chini yenye ujinga na upuuzi uliopita kiwango cha ustaarabu.... Na inatufundisha common sense ndio akili ya kwanza na muhimu kwa mwanadamu, ukikosa common sense huko mmagumu licha ya vyeti vyako vizuri na lukuki. Ingawaje sisi binadamu inabidi tuheshimiane tu na binafsi sichukii yeyote maana atakaenizika simjui.. Na wanaogombana ndio wanaishiaga kuwa marafiki wa kufa na kuzikana ingawaje labda nitangulie kufa mimi injinia anizike lakini akitangulia nikafika mazishini nitacheka sana huko makaburini maana jamaa yangu nilimuona pale TMT kwenye Forex jangid plaza ana kichwa kikubwa sana sasa jeneza lake hopefully litakuwa na muundo kama wa lollipop sababu ya kichwa kikubwa kisicho na common sense. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Injinia tafadhali hebu jitokeze..jionyeshe mbele za waaatu. Maana wanaogombana ndio wanaopatana na udugu ndio hazina yetu. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Si ajabu tukaja kuwa washkaji sana maana Mimi sina kinyongo wala ugomvi na wewe ndugu yangu. No need to worry you got a friend here!

Apparently, ngoja niwape hii bonus kidogo wapiga kura wangu waburudike, Hii hapa ingia ucheke Ni mazingira gani hatari uliwahi kujisaidia haja??

[emoji176]
Mkuu nakutafta ninamazungumzo nawewe kidogo (Men talk)
 
hahaaa " NN. huwa akijitapa _ watu wote " Mkia kimyaa"daaahh ila JF nyoko" watu wamenipotezea" yule ndugu yangu mwenye jina la dawa aisee

Mkuu.. huyu jamaa mwenye jina la dawa, ilikuaje akapotezwa?
 
Mkuu.. huyu jamaa mwenye jina la dawa, ilikuaje akapotezwa?
kuna raia walianza kumuandama kwa kumfungulia threads za kumsema" ..so nahisi kapoteza hamasa kwa muda ya kuwa humu"... ...ila vijana walivyomfanyia sio poa aisee
 
Mnanifanya niplan siku moja niwatoe watoto wazuri wote wa JF somewhere tukutane patulivu for some candlelight dinner, ili tu enjoy na tufurahi maana life is too short kuwa na mastress kama ya injinia Ndezi.

Valentina tuko pamoja best.

[emoji176]
Hahaaha

Humble una mbwe mbwe sana mkuu
 
Back
Top Bottom