Kuna vitu vya mpinzani wangu
CCNP Engineer navisoma hapa hadi najikuta nalazimika kuhoji juu ya uzima wa akili yake na ufaulu wake na taaluma yake kwa ujumla.....tunajua elimu imeporomoka sana nchini ila sio kwa taaluma ya uinjinia.. Hapana! Ndio maana nasisitiza ili lisiwekwe kama tatizo la watu wa sayansi au fani ya engineer, hili ni tatizo la huyu jamaa Ndezi kuna uwezekano akawa psychopath.... Yuko Very naïve, mediocre and truly insane.
Though, nimecheka sana kwa content yake hiyo hapo chini yenye ujinga na upuuzi uliopita kiwango cha ustaarabu.... Na inatufundisha common sense ndio akili ya kwanza na muhimu kwa mwanadamu, ukikosa common sense huko mmagumu licha ya vyeti vyako vizuri na lukuki. Ingawaje sisi binadamu inabidi tuheshimiane tu na binafsi sichukii yeyote maana atakaenizika simjui.. Na wanaogombana ndio wanaishiaga kuwa marafiki wa kufa na kuzikana ingawaje labda nitangulie kufa mimi injinia anizike lakini akitangulia nikafika mazishini nitacheka sana huko makaburini maana jamaa yangu nilimuona pale TMT kwenye Forex jangid plaza ana kichwa kikubwa sana sasa jeneza lake hopefully litakuwa na muundo kama wa lollipop sababu ya kichwa kikubwa kisicho na common sense. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Injinia tafadhali hebu jitokeze..jionyeshe mbele za waaatu. Maana wanaogombana ndio wanaopatana na udugu ndio hazina yetu. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Si ajabu tukaja kuwa washkaji sana maana Mimi sina kinyongo wala ugomvi na wewe ndugu yangu. No need to worry you got a friend here!
Apparently, ngoja niwape hii bonus kidogo wapiga kura wangu waburudike, Hii hapa ingia ucheke
Ni mazingira gani hatari uliwahi kujisaidia haja??
[emoji176]