Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Promota kura ya huyu... Naomba zihesabike kama mbili maana kaonyeha uvumilivu na heshima kwa injinia aliempa ahadi ya uongo ya kumpa elfu hamsini then akaingia mitini. Yaani kavumilia utapeli!Kwa masikitiko makubwa KURA inaenda kwa Humble African
Amekuwa mvumilivu na mwenye staha sana unless kwa mwingine ungekuwa mwano sana muda huu.