bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
- Thread starter
- #301
Always mi ni football mkuu.Mkuu, ni Football ama Basketball?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Always mi ni football mkuu.Mkuu, ni Football ama Basketball?
Hata wewe ah ah ah.....Mchawi pesa Humble African una kura yangu huwaga nikiona thread zako lazima nifungue nione yaliyomo achana na Huyo mwenye kusubiri pesa za kudownload na A plus zake.
ushamba unamsumbua, kabahatika kuja mjini kutokea tukuyu huko anataka tumtambue sasa kupitia JFHana adabu sana mshkaji sio gentleman na hamueshimu yeyote yule ndio ubaya yeye anatukana tu hovyo hovyo.
Ni bora ulimpa ukweli wake.
Washkaji wamemtosa kumpa salary slips sijui....Hata wewe ah ah ah.....
Mbona leo wote mnamkimbia Mwanasayansi....
CCNP Engineer wasaliti wote nawa note na imani screenshot yako ya bank itawaacha watu mdomo wazi najua huwa hukurupuki.....
Kama kawaida yetu chief tuko slow but sure......
Mimi kama mwanasayansi nliipagania sana heshima yetu ila nimeangushwa naomba zihesabike kura 2 tafadhaliPromota kura ya huyu... Naomba zihesabike kama mbili maana kaonyeha uvumilivu na heshima kwa injinia aliempa ahadi ya uongo ya kumpa elfu hamsini then akaingia mitini. Yaani kavumilia utapeli!
Amekuwa mvumilivu na mwenye staha sana unless kwa mwingine ungekuwa mwano sana muda huu.
@Beef lasagna na wenzako leo mmenifurahisha sana na mmedhihirisha wanawake ni jeshi kubwa sana. I promise kuna siku nitawatoa out for good vacation tupate Bonge moja la supper tukifurahi na Ku enjoy pamoja.Mchawi pesa Humble African una kura yangu huwaga nikiona thread zako lazima nifungue nione yaliyomo achana na Huyo mwenye kusubiri pesa za kudownload na A plus zake.
mmeniangusha nyinyi hata kutype vidole vizito kwa ajili yenuHata wewe ah ah ah.....
Mbona leo wote mnamkimbia Mwanasayansi....
CCNP Engineer wasaliti wote nawa note na imani screenshot yako ya bank itawaacha watu mdomo wazi najua huwa hukurupuki.....
Kama kawaida yetu chief tuko slow but sure......
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mchokozi saana wewe Mama Sabrina.Naomba uniajiri kazi ya kusoma pm na kuzijibu tafadhali
Malicious side wife detected with main chick...! Beep beep beep beep beep.Access denied
Tutahesabu kura 2 but pia km chama cha wanasayansi tunaomba mtuthibitishie usajili wa huyu mtu asije kuwa kama wale madaktari feki wanaokamatwa kila leoMimi kama mwanasayansi nliipagania sana heshima yetu ila nimeangushwa naomba zihesabike kura 2 tafadhali
😎😎😎😎😎😎 Hahahhaa atupishe huyu mwana sayansi kimu mwenye maneno ya shombo kama madalali wa samaki amenitosha mkuuHata wewe ah ah ah.....
Mbona leo wote mnamkimbia Mwanasayansi....
CCNP Engineer wasaliti wote nawa note na imani screenshot yako ya bank itawaacha watu mdomo wazi najua huwa hukurupuki.....
Kama kawaida yetu chief tuko slow but sure......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... injinia anaongea ujinga namna hii smh... huko shuleni alienda kusomea ujinga bila shaka.Yaani nisipokuwepo huwa anachonga ila nikitokea nduuuki anarudi shimoni haraka kama hivi kiiiiimy...! Mjambaji na screenshot yetu...njoo tunakusubiri hapa Mimi na wapiga kura wangu. [emoji16]View attachment 827645
Tutahesabu kura 2 but pia km chama cha wanasayansi tunaomba mtuthibitishie usajili wa huyu mtu asije kuwa kama wale madaktari feki wanaokamatwa kila leo
Ile hamsini elfu alikupa.....mmeniangusha nyinyi hata kutype vidole vizito kwa ajili yenu
Sijakuuelewa nani ni ccnp?huyu ni ccnp ujue
Aisee...... naona watu mmechafukwa kwelikweli.....😎😎😎😎😎😎 Hahahhaa atupishe huyu mwana sayansi kimu mwenye maneno ya shombo kama madalali wa samaki amenitosha mkuu