BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

Hahaha mkuu siyo kwa matusi hayo kwa lefake engeneer

Mkuu @humbleafrican your always flyigh to the matter facts nd reality

To be truth you never let me down nd someother members here , keep it up brooh
It's all good bro! I was just doing what I always do best. Just killing them haters and hecklers in classy and stylish mode.

Giving you quality and noble service is what I'm always longing for bra!

I'm at your service enjoy.[emoji112]
 
mjadala utaisha pale amu atakaposema kapokea hizo pesa mjini heshima pesa
Hahaha, Shem bana
Brother huu mjadala huko huku chit chart na kila mtu ana haki ya kusema anachotaka regardless what, thus no matter what unatakiwa mjadala ufe wenyewe tu natural death unless utaendelea tu na battle itaendelea.

Ninajua I'm arguing with the foolish guy... Huwezi kuargue na fool then uexpect kubakia vile vile smart and sophisticated... I have to go down with him on the mud.. Ni sawa na kuchezea mieleka na nguruwe kwenye tope afu utegemee utoke msafi... Hell no!

I'm enjoying the foolishness ya kucheza kwenye matope na huyu mwehu fortunately nazaa nae kwa uzuri tu. [emoji16][emoji16]

Though, wewe ni jamaa yangu mkubwa toka intelligence nakuheshimu na kuheshimu sana maoni yako but let me be me bro.

Regards.
Tuko pamoja
 
mjadala utaisha pale amu atakaposema kapokea hizo pesa mjini heshima pesa
What did u say?kweli nimeamini pesa inaenda kwa mwenye pesa yaani mwanamke wa kwanza wewe leo kutoa pesa humu humu tena kilo na 20 anyway nilishapokea pesa kadhaa kwa waliopenda comment nishapokea 35,000,65,000 na 21,000 aaa ila leo napokea kutoka kwa mke wa papaa mwenyewe humble african humble aliyesoma HKL yake lakini ametukimbiza sisi Wa pure maths,ndugu wajumbe nafinalize na zahra nitaleta mrejesho halafu kuanzia leo wewe Zahra mimi ni best wako humu ndani nakupendaje teh teh teh
 
Penye udhia waswahili wanasema Penyeza.....
 
amu: hiyo 120 ikiingia usitusahau hata elfu moja tukajifute machozi na maziwa fresh , hamtabiriki nyie mkishapata mnapotea kiaina.
nitawwarushia wote tufute machozi ninawaza nawaza kumtumia pia injinia
 
5H1*1K3J1*J Confirmed. On 5/8/18,8:58 PM Give Tshs 125,000 to .....SAIDI New balance is Tshs ******
Ndugu wajumbe muamala umesoma nawaombeni wale tulioahidiana kujifuta machozi wana sayansi pm tugawane,halafu Zahra endelea kumshikilia hivyo hivyo Humble si kwa pesa hizi
 
Ila screenshot ingependeza zaidi....[emoji2][emoji2]
 
ningekurushia best na tungeunganisha nguvu za kumkimbiza Humble African humu ndani hawezi kutudhalilisha namna hii sisi wa kina John kisomo ila keshatushinda tuungane nae tu Humble African
[emoji23] [emoji23] [emoji17]daah!mi nilijua ulipata bingo amu ukaamua kunipotezea...

Daah!yaani akina H kunani wametupiga bonge la dochii!!!
Ngoja tujiunge nao tu!

Kura yangu kwa Humble African japo kwa shingo upange[emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
5H1*1K3J1*J Confirmed. On 5/8/18,8:58 PM Give Tshs 125,000 to .....SAIDI New balance is Tshs ******
Ndugu wajumbe muamala umesoma nawaombeni wale tulioahidiana kujifuta machozi wana sayansi pm tugawane,halafu Zahra endelea kumshikilia hivyo hivyo Humble si kwa pesa hizi
Haya ndo tunayoyataka sio swaga za mara sijui mnara umeyumba basi signal zimekuwa weak mpaka ussd code zimegongana huko angani na porojo nyingiiii.
 
Kiukweli hii hela ningerushiwa na injinia ningemnunulia mwanangu baiskeli ukumbusho na ningeenjoy sana ningetembea kifua mmbele ila hii jamani hata mzuka kivile sina yaani injinia aliniangusha sana jamani khaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji17]daah!mi nilijua ulipata bingo amu ukaamua kunipotezea...

Daah!yaani akina H kunani wametupiga bonge la dochii!!!
Ngoja tujiunge nao tu!

Kura yangu kwa Humble African japo kwa shingo upange[emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
5H1*1K3J1*J Confirmed. On 5/8/18,8:58 PM Give Tshs 125,000 to .....SAIDI New balance is Tshs ******
Ndugu wajumbe muamala umesoma nawaombeni wale tulioahidiana kujifuta machozi wana sayansi pm tugawane,halafu Zahra endelea kumshikilia hivyo hivyo Humble si kwa pesa hizi
Woyooo[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]amu ngoja nije pm
 
5H1*1K3J1*J Confirmed. On 5/8/18,8:58 PM Give Tshs 125,000 to .....SAIDI New balance is Tshs ******
Ndugu wajumbe muamala umesoma nawaombeni wale tulioahidiana kujifuta machozi wana sayansi pm tugawane,halafu Zahra endelea kumshikilia hivyo hivyo Humble si kwa pesa hizi
Wozaaaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom