clack93
Member
- Aug 29, 2016
- 54
- 41
Wadau huu mwaka tutashuhudia positive music battle kati ya Fiesta na WasafiFestival kwa upande wangu hii battle naichukulia positive kwa ukuaji wa muziki wetu kwa sababu kama mtoto wa juzi diamond hana miaka mingi kwenye game leo hii anaweza kuwa na label kubwa hadi kufikia hatua ya kuwa na festival ya kuchallenge FIESTA hii ni dalili tosha kwamba kujituma na kuwa na malengo unaweza kufika mbali sana.