Wasafi Festival hivi itakuwa inajumuisha wasafi tu au na wasanii wengine?Wadau huu mwaka tutashuhudia positive music battle kati ya Fiesta na WasafiFestival kwa upande wangu hii battle naichukulia positive kwa ukuaji wa muziki wetu kwa sababu kama mtoto wa juzi diamond hana miaka mingi kwenye game leo hii anaweza kuwa na label kubwa hadi kufikia hatua ya kuwa na festival ya kuchallenge FIESTA hii ni dalili tosha kwamba kujituma na kuwa na malengo unaweza kufika mbali sana.
Kuanzisha kitu kwa malengo ya kummaliza mpinzani badala ya kukuza muziki.Kwanini?
wanaweza kuongeza wa wengine wachache ili radha iongezekeWasafi Festival hivi itakuwa inajumuisha wasafi tu au na wasanii wengine?
Kama na wasanii wengine watahusishwa sitoshangaa kusikia malalamiko kuwa wasanii wanalipwa pesa ndogo na hapo ndipo utashangaa iweje aliyekuwa analalamika kunyonywa na Ruge naye ananyonya wengine kama ambavyo imetokea kwa Rich Mavoko.
Wasanii uwa sijui wanakuwa wamezibwa macho wakati wakuingia mikataba maana uwa nashangaa mkataba asaini yeye halafu aje kusema ananyonywa.
Mmeyataka wenyewe Mawingu.Kuanzisha kitu kwa malengo ya kummaliza mpinzani badala ya kukuza muziki.
Kwa hiyo tamasha libaki moja tu weee kipapa?Kuanzisha kitu kwa malengo ya kummaliza mpinzani badala ya kukuza muziki.
How!?yaap sure wangetafuta jina flani neutral
Yani wananchi wakose burudani ya Kwangwaru na Chombo...kisa Clouds wana bifu.Kwa hiyo tamasha libaki moja tu weee kipapa?
Matusi ya nini mkuu? unaweza sana kutukana?Kwa hiyo tamasha libaki moja tu weee kipapa?