Battle: Kenyan Woman Vs Tanzania Woman

Battle: Kenyan Woman Vs Tanzania Woman

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,303
Reaction score
23,064
Aisee mimi ni Mbongo lakini madem wa Kenya nawakubali kwa kujipenda, kuvaa.
Kila manzi hapa Nairobi ni mkali, pua flani nyembambq, weuzi amazing.

Afu wana confidence vibaya mno, ukimtongoza wala hana cha kukuonea aibu.

Tofauti na madem wetu wa kibongo ambao ni wazuri ila ni waoga alafu kimavazi hawapo poa. Unakuta demu ananunua nguo baada ya miezi mitatu, kurudia nguo sana.

Ila nachowakubali wa kibongo ni waelewa afu kwenye ela sio sana kama kenya. Kenya kama huna mpunga wa kutosha humiliki dem mkali, mana atakupa bajeti zake km huna kifua utakufa.

Wanacho boa madem wa kenya ni hawapendi sana na hawaendekezi mapenzi, yani ukiachama wala usitegemee ataumia km wa huku kwetu.

Bongo madem wetu wanaupendo wa dhati alafu wengi wana date kwa lengo la kuoana.

All in all Nitaoa Bongo.

Picha zitakuja.

aeiou
 
Acha kufananisha madem wa kibongo na vitu vya kijinga.

Yan demu anakunya kwenye flying toilets then unamcompare na mbongo? are you ok upstairs kweli?

We kama umepata manzi hapo kibera tulia tu, sio kumfananisha na mbongo.

Hao madem wa kenya ni kama madume flan hivi, yan wana overconfidence kitu kinachowafanya kupoteza haiba ya kike, yan zile romantic pozi za kike hawana kabisa, we huoni waume zao wanavyobondwa?? Subir na wewe ung'olewe meno.
 
😀😀😀....hasira ya nn
 
I doubt kama ulienda shule...
uko mjinga sana kiakili
 
Kwanza tanzania kuna varieties nyingi sana za wasichana kutokana na maeneo husika ya manzi anapotokea, kenya utapata shida sana kutofautisha jinsia me na ke, they just look alike. Ukija kwenye shape ndo hawasogelei bongo hata robo.

Kwa mademu wa east africa labda tupambane na wanyarwanda tu, but hizo nchi nyingine zote haziwafikii wabongo.

Mademu wa kikenya wengi wao wanafaa kua lawyers, vyombo vya usalama au politicians type za kina mdee.

Bongo raha jamani. Salute to all Tanzanian ladies, you run this ea community, we love you so much.
 
Najua umetoka pokea kichapo toka kwa mkeo asubuhi hii, pole sana, hasira zako usinletee mimi, nenda kwa wakwe zako ukadai posa yako. Mko wazembe sana wanaume wa kenya, mnadundwa daily.
Mkuu jaribu kuwa mungwana hata kama ni kidogo tu...hasira hasara ndivo walivonena
 
Kipindi nipo field Moro aliwah nizimia mtoto wa 254, kupika sasa ndio sikuelewa aina ya pishi japo Nadhani kwake ndio kilikua chakula bora kumuandalia mgeni wake....

Well shape ilikua bomba kabsa lakini chemistry yake kwangu ilikataa...

Bongo ukila mbongo mwenzio inamake sense zaidi kila mtu ale kwao. ..nnauhakika Ni rahis kwa kijana wakiume m254 kutoka n.a. mbongo Ila sio code versa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kufananisha madem wa kibongo na vitu vya kijinga.

Yan demu anakunya kwenye flying toilets then unamcompare na mbongo? are you ok upstairs kweli?

We kama umepata manzi hapo kibera tulia tu, sio kumfananisha na mbongo.

Hao madem wa kenya ni kama madume flan hivi, yan wana overconfidence kitu kinachowafanya kupoteza haiba ya kike, yan zile romantic pozi za kike hawana kabisa, we huoni waume zao wanavyobondwa?? Subir na wewe ung'olewe meno.
Hahahaha wacha nikutaftie daktari wa akili
 
TZ Girls
21149779_1728441114124021_7853437766200197120_n.png
 
Kwanza tanzania kuna varieties nyingi sana za wasichana kutokana na maeneo husika ya manzi anapotokea, kenya utapata shida sana kutofautisha jinsia me na ke, they just look alike. Ukija kwenye shape ndo hawasogelei bongo hata robo.

Kwa mademu wa east africa labda tupambane na wanyarwanda tu, but hizo nchi nyingine zote haziwafikii wabongo.

Mademu wa kikenya wengi wao wanafaa kua lawyers, vyombo vya usalama au politicians type za kina mdee.

Bongo raha jamani. Salute to all Tanzanian ladies, you run this ea community, we love you so much.
Kenya Wabantu ndio wengi T.Z Wabantu ni wengi. Sasa tofauti ya Bantu wa T.Z na KE ni ipi? Bantu wote walitoka Congo/Cameroon na karibu wote wanafanana kwani walitoka Central Afrika. Wewe endelea Kula viazi kwa shamba na kulima mboga.
 
He he heeeeeeee! nicheke ninenepe mie!!!

Mungu aliumba kila kiumbe kwa jinsi yake. Alimuumba mwanamke awe msaidizi wa mwanamume. Mwanamke alitoka ubavuni mwa mwanamume hivyo kila mwanamume anapata ubavu unaofanana nae. Wakenye wana maubavu yanayofanana nao... na madume ya kibongo vivyo hivyo.

Sasa kuwalinganisha hawa viumbe ni ajabu kabisa..... hawawezi fanana na hawalinganishwi. Hata madume ya Kenya hayafanani na madume ya bongo.
 
Back
Top Bottom