General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Aisee mimi ni Mbongo lakini madem wa Kenya nawakubali kwa kujipenda, kuvaa.
Kila manzi hapa Nairobi ni mkali, pua flani nyembambq, weuzi amazing.
Afu wana confidence vibaya mno, ukimtongoza wala hana cha kukuonea aibu.
Tofauti na madem wetu wa kibongo ambao ni wazuri ila ni waoga alafu kimavazi hawapo poa. Unakuta demu ananunua nguo baada ya miezi mitatu, kurudia nguo sana.
Ila nachowakubali wa kibongo ni waelewa afu kwenye ela sio sana kama kenya. Kenya kama huna mpunga wa kutosha humiliki dem mkali, mana atakupa bajeti zake km huna kifua utakufa.
Wanacho boa madem wa kenya ni hawapendi sana na hawaendekezi mapenzi, yani ukiachama wala usitegemee ataumia km wa huku kwetu.
Bongo madem wetu wanaupendo wa dhati alafu wengi wana date kwa lengo la kuoana.
All in all Nitaoa Bongo.
Picha zitakuja.
aeiou