Battle: Kenyan Woman Vs Tanzania Woman

Battle: Kenyan Woman Vs Tanzania Woman

Sasa kama huna taarifa eneo pekee Africa lenye nilotes, kushets, na bantus almost equal ni Tanzania

Iraqw people - Wikipedia
Hahaha, wewe sasa ndio umepotoka. Fanya research ya Kenya uone. Green ni Cushites(Wameoriginate horn of Africa, somalia na Ethiopia), Blue ni Bantu na Pink na Red ni Nilotes(Origin yao ni South Suda) na wabantu waliopitia route ya Tanzania. Nyinyi ni mostly Bantus. Sisi ni more of a mixture. Hata hao nilote huko kwenu origin ni Kenya, Luo na Maasai.
kenya_tribes.jpg
 
Same for Kenya. Tuanze na Wanaloti. Kuna River lake Nilotes kama Waluo, Plain nilotes kama wamasai, highland nilotes kama wakalenjin(wanariadha wa Kenya). Na wote hukaa tofauti sana. Kuna Wabantu wa western bantus waliopitia route ya Uganda Kuingia Kenya kama Waluhya then kuna Eastern Bantus waliotumia route ya Tanzania kama Wakikuyu, Wakamba na Wataita. Na hawa wabantu hukaa tofauti kabisa ata kwa kuwatazama. Then Kuna Cushites North Eastern Kenya, Majority ya Cushites ni Northern Cushites. Wasomali ndio wengi zaidi Kenya, then kuna Oromo(kabila kubwa kabisa Ethiopia) wako Kenya pia. Na northern Cushites hukaa tofauti sana na Iraqwi wenu. Pia kama unavyoelewa kuna sisi wengine, kuna waAsia na KunaWazungu. Kenya ni more diverse than any East African country. Ukitaka wakenya wanakaa waEthiopia utawapata Kenya, ukitaka wanakaa wasudan utawapata Kenya, ukitaka wanakaa wa Tanzania ama waUganda utawapata Kenya. Kama umezoea kuwatch mpira wa Kenya, wengi wa wachezaji ni Wajaluo, kwa riadha ni wakalenjin n.k.
Wacha nikuope mifano ya watu unaowajua na kabila lao. Wajaluo(Obama, Raila, Octopizzo, Lupita), Wakikuyu(Uhuru Kenyatta, Avril, Huddah), Sauti Sol ni Waluhya
wow, so interesting......i thought kenya ni ya waluo n kikuyu only. But Tz we have more than 120 tribes though majority ni bantus but wanatofautiana sana from one tribe to another in many aspects.
 
wow, so interesting......i thought kenya ni ya waluo n kikuyu only. But Tz we have more than 120 tribes though majority ni bantus but wanatofautiana sana from one tribe to another in many aspects.
Waluo na wakikuyu pekee hahaha. Makabila ya Kenya ni 44.
 
wow, so interesting......i thought kenya ni ya waluo n kikuyu only. But Tz we have more than 120 tribes though majority ni bantus but wanatofautiana sana from one tribe to another in many aspects.
Lakini pia greener, hujui Wamaasai ni Wakenya?
 
Lakini pia greener, hujui Wamaasai ni Wakenya?
Kenya au Tanzania ni mambo ambayo hayana uhusiano na makabila, makabila ni way deeper than mere nations of today sema wapo Maasai wa kenya na Tanzania maeneo waliopo kwasasa ni matokeo ya Berlin conference
 
Acha kufananisha madem wa kibongo na vitu vya kijinga.

Yan demu anakunya kwenye flying toilets then unamcompare na mbongo? are you ok upstairs kweli?

We kama umepata manzi hapo kibera tulia tu, sio kumfananisha na mbongo.

Hao madem wa kenya ni kama madume flan hivi, yan wana overconfidence kitu kinachowafanya kupoteza haiba ya kike, yan zile romantic pozi za kike hawana kabisa, we huoni waume zao wanavyobondwa?? Subir na wewe ung'olewe meno.

akili ulinyimwa bans duh!!!
 
Kenya yote from Nai to Mombasa, sijui Meru, kote hakuna mademu..

Hakuna wanawake warembo Kenya kabisa.. Full stop. Kuna wa ethiopia na wasomali ila sio wakenya hao, ila wakenya pure wanawake wao hawanamvuto kabisa, maumbo yao kama gunia pia tabia zao wanawake mbovu sana, ni kama madume tu, magumu magumu kila kitu from umbo hadi maneno yao hayana bashasha kabisa.. Sura zao ngumuuu, hawavutii kabisaaaaaa pia makatili sana mijike ya kenya

TZ ndio kila kitu kwa wanawake, labda wakifuatiwa na Wa Ethiopia, kuna mademu wa kufa mtu Tz.. Ukija Arusha utawakuta Wairaqw wako kama waarab au Waethiopia, ni wakali balaaaaaaaaa.. Softiiiiiiiiiii, nyeupeeee, rangi ya mtumeee, nyweleeeeee hadi shida.. Arusha kuna waarusha na wameru pia ni warembo sana

Ukija Kilimanjaro, wachaga kuna kila aina ya mademu.. wakaliiiiii ni shidaa

Tanga huko ndio mixer, shombe za kiarab na wazigua, somalis ni utamu tu.. Tanga ndio mapenzi yaliko zaliwa.

DAR, hahaaa, ndio kila kitu, tako moja linatingishwa balaaa, kila demu kajaziaa, tigo ndio kila kitu, wako mademu wa kila aina, hadi wazungu..

Dodoma, Singida, Tabora kuna kila aina ya watoto wazuri, weupeeee na weusi na kila shape na wazuri kweli..

Mbeya ingawa wengi weusi ila wana matako ya kutosha, mijimama flan hv..

So Tz imebarikiwa sana jamaniii..
 
Oyo njoo huku Tabora uone madem wakinyamwez,wanamatako,daah,alaf warefu sana.
 
Hawa kwao weupe natural walio nao wachache sana si kama bongo ndo maana videm vyeupe kwa kenya vinakuwaga na maringo saana maana kule kwao wapo wachache
Hahaha basi ndio mana wanasema wanawake wa Tanzania wanajichubua kumbe huko kwao wanawake weupe natural ni lulu Dah
 
Kenya kuna higher variety. Tanzania ni dominantly Bantu. Kenya ni Bantu, Nilote na Cushite kaka.
bongo kuna bantu, kuna khoikhoi (tindiga na sandawe) kuna san (hadzabe) kuna nilotes wa kumwaga kuna kila aina
usiseme vitu usivyovijua
 
Lakini pia greener, hujui Wamaasai ni Wakenya?
asili ya maasai ni sudan kusini mbona unakaza sana ubongo? kama hujui kitu kaa kimya
kushites asili yao ni ethiopia, somalia, eritrea na nchi nyingine za pembe ya afrika
 
Wanawake wa Kenya wana sura ngumu na tabia za hovyo alafu huwa na uwalaza/kipara na makomwe marefu. Huwezi linganisha na mabinti warembo wa tz
 
Ina maana mnafananisha wale wakenya wadada wanakimbia na riadha wagumu kwel
 
Back
Top Bottom