Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Huwa inauma sana mtu anapojibu post kama hii iliyosheheni FACTS, afu yeye anakuandikia "K 4 REAL" au " #TIME WILL TELL" au "MBONA UNAANDIKA GAZETI".

Wapunguzie doz mheshimiwa.... Hapa Unawapiga DDT wakati wana kikohozi
 
Mtaelewa tu

ally kiba bwana... mganga wake sijui kamndanganya nini.. I swear na zile Autotune za Ally kiba na Davido itakuwa the Biggest mistake ally amewahi kufanya, Dunia nzima itagundua kuwa alikuwa anatembelea Nyota ya diamond,,,, afrika nzima hajaona wa kufanya nae collabo, washauri wake wamemdanganya kuwa ataweza kutengeneza hit kama my number one just because ana bifu na Diamond( alilotengeneza yeye) na Diamond aliwika kimataifa zaidi after the joint with Davido....!!! Poor logic...
 
Hapa ni sindano za kwinini tu hapa kisha unawaacha wakuchukie kimoyomoyo manake wanajua fika sie tuliozaliwa na kukulia ushenzini hatuna haja ya ku-pretend, mtu akikuzingua, unamzingua tu!

Kama kawa kama dawa
 

Acha kutoa povu, Davido ndiyo aliyeomba collabo na kiba kwa kulialia, kiba collabo lake alilofanya na wizkid chini producer tuddy thomas na Man water bado lipo bado video ndo atashoot na director clarance peter wa Ghana nalo litatoka mwezi wa 9 bila kusahau hapa katikati zitatoka mvua za collabo kiba alizoombwa na cabo snop, saut soul, Christian bella, stanley wa cameroon na victory kinani thenly project ya mwisho ya kiba himself feat trey songz ni December.

Nimeamua kutoa siri maana sina kifua mimi cha kutunza siri.

#Rockstar4000presents
 

Lazima ujisikie aibu kusapoti alichoondika huyu jamamaa.
 

Hahahahahah habari za kuaadikika hizi etiii!?,cabo snoop, trey songz hahaaaha toka hapaa!!

Halafu eti ulishatembeaga uchi wewe kama ulivyosema?
 
Mkuu "NO EVIDENCE,NO RIGHT TO ARGUE"... right?, embu lete link yenye criteria za AFRIMMA AWARDS zinazotumika kuchagua WINNERS ili tuamini ayo uyasemayo bwana Sams,usituletee habari za MTV's hapa.
Mkuu nimekusoma na nimekuelewa nimeshindwa kukuwekea linki ikikubali utaiona
 

Tutolee utumbo wako
 

Clarence peter n wa Nigeria km kiba kawambia ata shoot n Clarence Peter wa Ghana basi jua mmedaganywa pole sn c unajua yule Mr coming soon bwana tembo Ana fix aende kutembelea kituo cha tembo yatima kimezinduliwa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…