Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaelewa tu
Hapa ni sindano za kwinini tu hapa kisha unawaacha wakuchukie kimoyomoyo manake wanajua fika sie tuliozaliwa na kukulia ushenzini hatuna haja ya ku-pretend, mtu akikuzingua, unamzingua tu!
ally kiba bwana... mganga wake sijui kamndanganya nini.. I swear na zile Autotune za Ally kiba na Davido itakuwa the Biggest mistake ally amewahi kufanya, Dunia nzima itagundua kuwa alikuwa anatembelea Nyota ya diamond,,,, afrika nzima hajaona wa kufanya nae collabo, washauri wake wamemdanganya kuwa ataweza kutengeneza hit kama my number one just because ana bifu na Diamond( alilotengeneza yeye) na Diamond aliwika kimataifa zaidi after the joint with Davido....!!! Poor logic...
Acha kutoa povu, Davido ndiyo aliyeomba collabo na kiba kwa kulialia, kiba collabo lake alilofanya na wizkid chini producer tuddy thomas na Man water bado lipo bado video ndo atashoot na director clarance peter wa Ghana nalo litatoka mwezi wa 9 bila kusahau hapa katikati zitatoka mvua za collabo kiba alizoombwa na cabo snop, saut soul, Christian bella, stanley wa cameroon na victory kinani thenly project ya mwisho ya kiba himself feat trey songz ni December.
Nimeamua kutoa siri maana sina kifua mimi cha kutunza siri.
#Rockstar4000presents
Lazima ujisikie aibu kusapoti alichoondika huyu jamamaa.
Acha kutoa povu, Davido ndiyo aliyeomba collabo na kiba kwa kulialia, kiba collabo lake alilofanya na wizkid chini producer tuddy thomas na Man water bado lipo bado video ndo atashoot na director clarance peter wa Ghana nalo litatoka mwezi wa 9 bila kusahau hapa katikati zitatoka mvua za collabo kiba alizoombwa na cabo snop, saut soul, Christian bella, stanley wa cameroon na victory kinani thenly project ya mwisho ya kiba himself feat trey songz ni December.
Nimeamua kutoa siri maana sina kifua mimi cha kutunza siri.
#Rockstar4000presents
Eleza ww uongo ukwapi hapo?
Mkuu nimekusoma na nimekuelewa nimeshindwa kukuwekea linki ikikubali utaionaMkuu "NO EVIDENCE,NO RIGHT TO ARGUE"... right?, embu lete link yenye criteria za AFRIMMA AWARDS zinazotumika kuchagua WINNERS ili tuamini ayo uyasemayo bwana Sams,usituletee habari za MTV's hapa.