Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Nana umetoka juzi tu umeshaanza kutoa majibu dadadeki, nifah na Shardcole povu lazima ziwatoke
 
wapi Matola mzee wa povu, huku matokeo ni 7 kwa 1
 
Last edited by a moderator:

duh bonge la gazet
 
Huu ni uongo sababu leo ndio siku ya mwisho ya ku submit entries, ungeweka subira kwanza ndugu.

Kwanini unataka kudanganya watu, kama itakuwa itakuwa ila ni kusubiri kuona majina gani yatatoka baada ya leo kuisha.
 
Namponza Alikiba kwa hatua aliyopiga na hii ndio tunahitaji kuona! Safi.

ahahahaha watu kweli walikua na Ugwadu mweeh!category moja wameshaanza kupiga mayowe jamani mbavu zangu mieeee!!
Tanzania imetoa hawa
1.Vanessa mdee-anawania category mbili
2.Ommy dimpozi-moja (msanii chipukizi)afrimma wanadharau sana yaani ommy dimpozi chipukizi??
3.khadija kopa
4.Jaydee
5.Sheddy clever
 
Huu ni uongo sababu leo ndio siku ya mwisho ya ku submit entries, ungeweka subira kwanza ndugu.

Kwanini unataka kudanganya watu, kama itakuwa itakuwa ila ni kusubiri kuona majina gani yatatoka baada ya leo kuisha.

Ngoja tuone lakini kwenye website yao nasikia tayari wameshayatoa
 
Huu ni uongo sababu leo ndio siku ya mwisho ya ku submit entries, ungeweka subira kwanza ndugu.

Kwanini unataka kudanganya watu, kama itakuwa itakuwa ila ni kusubiri kuona majina gani yatatoka baada ya leo kuisha.

Yametoka dear.....
 
hiyo tuzo lazma ije tz

Mkuu hiyo ni COMFIRMED ila kazi ipo hapo ni kwa KIBA au MONDI?...hapo kazi kwetu tu sasa,alafu tayari watu wameshaanza kuvote Fanya ivyo mkuu na kwa taarifa nilizozisoma kwenye site moja ya entertainment Namibia,mpaka mida ya SAA 10 tayari "CHEKECHA CHEKETUA" ya kiba ipo kwenye TOP-20 ya KORA ALL AFRICA MUSIC AWARDS kwa ivyo ni kuomba Mungu tu ikifanikiwa kufika katika video 10 bora za KORA kwa EASTAFRICA lazima apate nomination tu.
 
Kumbe Khadija Kopa ni zaidi ya mzee Yusuf? Ok sasa naanza kulielewa somo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…