Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Wadau Afrimma site sometmz inakua DOWN" kwa wale wenye category moja tupeane nafasi jaman cc wengine tuna saba huko mnatuwekea jam.
 
Mkuu kama kuvuka kiba alishavuka kitambo since alivyoimba na R Kelly(mfalme wa R&B states),pia MWANA ya kiba inapigwa sehemu nyingi tu Africa Kenya ilishashika No.1 kwenye redio "HOT 96.9 ya Kenya" na "ilikuwa No.6 katika top10 redio "LIVE 91.9 ya ghana",pia leo ipo No.2 katika TOP-20 ya iTunes kwa wiki ya sita sasa akimfukuzia wizkhalifa mkali wa states na track yake ya see you again wakati uyo Mondi wako hajafika iyo Top-20,Mimi nilizungumzia in terms of AWARDS bhana...ni hayo tu mkuu!!!


R Kelly, Amani, 2Face, 4x4, Alikiba, Fally Ipupa, JK, Movaizhaleine & Navio - Hands Across the World

nyimbo ya misaada hiyo usipaishe usipaishe ka vile walijadili collabo la wawili wao tu au hata baada ...

alikuwa anawika enzi hizo na akaishia kushuka hakutoka hata kujulikana boda ya nchi na alidhani ndio mwisho watamsaka tu akikaa chini ya muembe bila kufanya kazi. unaitwa inabidi ujaribu kupaaa usipopaa unalo wewe, na inajulikana mwimbo haukuchukua nafasi ka ule wa MJ..WE ARE ...
 
Hii tuzo anaweza kuichukua eddy kenzo Ana adavantange sn ya hii ligi ya bwana tembo vs Mr icon

Waganda pia wana huu ugongwa wa team!team za uganda ni team Bebe cool na Bobywine,zikapelekeshana weee hizi team mwisho team bebecool wakasanda kiana!ikaongezeka tena team chemeleon na team zingine nyingi!

Eddy kenzo hana team kama sikosei ila bebecool anayoteam ingawa haina nguvu sana!ninaimani team bobywine watampigia kura eddy kenzo
 
kopi na pesti kwa wasioelewahizi tuzo ni zaletwa na akina nani

AFRICAN MUZIK MAGAZINE AWARDS (AFRIMMA) is the sole award ceremony in the Diaspora that caters to all musical genres including but not limited to: Afrobeats, Assiko, Bongo, Decale, Funana, Genge, Highlife, Hiplife, Kwaito, Lingala and Soukous.
African music is currently gaining global recognition at a rapid pace following this trend, AFRIMMA will create a platform that promotes the diversity of African music by bringing influential artists from different African countries for a night of celebration.
AFRIMMA’s vision is endorsed by some of the biggest African artists such as Fuse ODG (UK), Lira (South Africa), Tuface Idibia (Nigeria), Flavour Nabania (Nigeria), Miriam Chemmoss (Tanzania) , Avril (Kenya), Afro Mask (Ghana/ United Kingdom) , Nonini (Kenya), Chub Heightz (Botswana) and many more.

1st

Award

Ceremony

The first award ceremony will occur on July 26th, 2014 at the Eisemann Center in Richardson, Texas. The Eisemann Center has been recognized by clients, patrons and the media as one of the leading performing arts facilities serving the Dallas/Fort Worth area.


Demographics

Male – 45%
Female 55%
Ages: 21-64
Education
Highschool to Advanced Degree
Median Income
$50,000- $70,000


1st

Award

Ceremony

Music Lovers
Education Oriented
Strong interest in entertainment
Strong interest in culture
Strong interest in fashion
Socialites
Strong affinity towards luxury brands

*****

Big A Entertainment and African Muzik Magazine launch ticket sales for the AFRIMMA Awards Oct. 10th at The Black Academy of Arts & Letters
On the heels of its highly successful 2014 Award show, the 2nd Annual African Muzik Magazine Awards ( AFRIMMA ) has announced its 2015 award show event.
Ticket sales for the award show launched today and are now available for sale. The host venue for this year’s event is The Black Academy of Arts & Letters ( TBAAL).


^^^^^^^

sosi ni website yao

Hongera kwa wa Tanzania wote waliopata nafasi hii wakiongozwa na Raisi wao, Kijana shupavu mpiga kazi nae ni Diamond Platnumz bila kipingo ndie msanii mkubwa nchini anayewania tuzo saba.

Bado MTV ni tuzo kubwa sababu hizi ni za kujumuisha wale waishio nje yaa nchi kukumbuka vya walipotoka wao huku Afrika. Nimefurahia wanautambua michango ya sie wa barani Afrika na kutupaisha kiusaniii huko majuu kwa waafrika wenzetu.
 
halafa hz tuzo c kama wanachagua wao bali msaan mwenyewe ndio ananua hzo nafas iweleweke hvyo jmn
 
hivi ndio tunavyo taka,tuwe wengi wengi huko nje,niliumia sana kuona wanigeria walivyo zoa tuzo kibaoo daah east afrika tumechua moja tu,kwani wao wana nini na sisi tushindwe tuna nini?

Uki angalia hizo nomination za AFRIMAMA utaona wanaija walivyo jaa wako kma 20 hivi wakati Tanzania wapo wasanii wanne tu diamond,Ali,vmoney na khadija kopa.
 
Hivi hawa AFRIMMA wametumia vigezo gani labda. Hivi huyu bwana mdogo (Ommy Dimpoz) ni New comer kweli!???
Huyu si wa kitambo tangu enzi za Nai Nai!?
Labda wenzangu mnalionaje hili!?
Karibuni.
 
Haya mambo ya vilabu visivyo na viwanja wala makocha achilia mbali wadhamini khatari sanaaa.
 
Back
Top Bottom