Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Nasema hivii...
Mbona team ndomo team wanenguaji mmeumia hivyo kiba kutajwa? Mara oooh hastahili mara sijui nini.
Au kwa sababu hajafanya collabo na watu wa naija na kenya na uganda? Maumivu yakizidi mwone doctor.
Hamna cha collabo na watu wa nje wala nini ila tunatoboa kimataifa hutaki hama nchi.
Best male....
 
Vote vote
 
Attachments

  • 1437457229136.jpg
    1437457229136.jpg
    16 KB · Views: 147
Nasema hivii...
Mbona team ndomo team wanenguaji mmeumia hivyo kiba kutajwa? Mara oooh hastahili mara sijui nini.
Au kwa sababu hajafanya collabo na watu wa naija na kenya na uganda? Maumivu yakizidi mwone doctor.
Hamna cha collabo na watu wa nje wala nini ila tunatoboa kimataifa hutaki hama nchi.
Best male....

Sema best male east hata peter msechu aliingia kabla ya kiba last year akatusaidia kubeba tuzo yetu tutamtuma kiba atuchukulie pia tuzo😀😀😀😀
 
So unataka sema diamond n zaidi ya kiba ushakubali very good ila jua diamond anarudi n tuzo 3+
usibishe kiushabiki we umeona hao watu anaoshindana nao kuna olamide (shakitibobo) wizkid n davido so we huoni au
 
usibishe kiushabiki we umeona hao watu anaoshindana nao kuna olamide (shakitibobo) wizkid n davido so we huoni au

Olamide oya shake shibobo, move you're body shibobo fly to Paris shibobo eeh
 
Ni kweli lakini mjue Naseeb tayari ana fans wengine wengi outside tanzania kwa sababu ameshatengeneza jina so ni kukubali tu na kuhamasishana katika haya mawili
1. Watu wampigie kura aly tena kwa bidii ya ajabu ili tuzo ije home

Au

2. Watu wampigie kura Naseeb na aly ili tukose

Ingawa pia kwa advantage Naseeb aliyonayo tukiwapigia wote plus fans wa nje anaweza kupata.
Lakini pia katika hizo category 7 alizoingia hawezi rudi mikono mitupu hilo ni tumaini tulilonalo la uhakika

Hakika kwenye hizi tuzo haturudi mikono mitupu kulinganisha kiba ambaye yuko sehemu moja tu ambayo na yenyewe uhakika wake wa kushinda ni mdogo sana!

Akishinda diamond kwenye hii category ya best male basi itakua ni kofi na tusi lingine kwa KTMA
 
We ngoja wameanza MTV kuwaumbua ngoja n hii ashinde chibu ukweli utajulikana tu soon
sio wameanza kuwaumbua kila tuzo na taratibu zake hebu kaangalie video bora ya mtv (nafukwa) mbooovuuu vibaya
 
Back
Top Bottom