Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Asiyeweza kushukuru kwa kidogo hata kikubwa hatoweza kushukuru.
Shukrani ni jambo la uungwana, kwa hiyo sisi kama King Kiba Fans....
#Tunashukuru ,Tunajivunia

Hili jibu kama huyu jamaa ana akili hata ya kuvaa nguo, lazima atafakari sana. well done my sister.!! proud of you for real
 
Nipo hapa system inasumbua lol.
Msimu huu nitakuwa mzalendo...
Nitavote for kiba and domo and baba wanjee and vannesa.(wanafiki wanafinyanaaa hahahaaa hatareeee)

I m glad to read this....
 
Wakati DIAMOND yupo kategori 7 kiba yupo 1,na huko ushindi wa kura zina 30% na majaji uamuzi wao ni 70%
 
Uzuri wa wanaoandaa hizi TUNZO si bora liende USHINDI WA KURA UNA NAFASI WA 30% NA WA MAJAJI NI 70% HII INA MAANA KWAMBA KUNA VITU MAJAJI WANAJIRIDHISHA ZAIDI YA KURA UTAKAYOPIGA.
 
Et nitafurahi n shoo halafu izi afrimam zina nichanganya sn zipo mbili kuna ile ya marekani n za Nigeria cjajua km mdhamini anakuwa huyo huyo mmoja
tofauti this is for africa halafu chameleon hayupo kwenye best male y???
 

Mashabiki wa mna raha kinoma mna kinomination kimoja kwenye tuzo moja ambacho mnajuwa tu cha dangote

WASAAAAFI SASA DAAAH
ni shiiida kinoma
.......AFRIMMA 7
.......AEA 2
.......NEA 1
.......UEA 1
.......ÀFRICAN ARCHIEVERS 1

iz equal to???????






QUIZ ataepatia jibu anapata vocha 20,000/=
 
Wakati DIAMOND yupo kategori 7 kiba yupo 1,na huko ushindi wa kura zina 30% na majaji uamuzi wao ni 70%
basi msipige kura mana davido na wizkid wapo category moja na sai
 
Hizi tunzo naona wameamua kuwalundika kila kategori nominis ni wa8 si balaa hili hadi kopa ndani na Mrisho Mpoto nae ndani haya vote kwa TZ.BILA KUSAHAU KURA KWA SPACIAL ONE SI MWINGINE ILA NI DIAMOND ALIYE KWENYE KATEGORI 7
 
Back
Top Bottom