Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Ndo hivyo sasa Kiba ashatoboa kimataifa bila collabo, hakuna namna tena ndo tushawafata hadi huko mlipo na mwakani BET lazima mtaelewa tu.
 
Hahahahahaaaaa yaani Kibba hana kick ya kollabo na msanii wa nje na bado watu wameona kwamba kuna kitu ndani yake....kawanyooshe baba maana they are stubborn...na wanajifanya hawajui thaman yako in BF industry...huwezi mfananisha NYERERE na KIKWETE ever..

Mjazeni hivyo hivyo. Hiyo thamani mnaiona nyie tu? Na anayewekwa kwenye nomination saba, MTV, channel O, BET asemeje?
 
Hahahahahaaaaa yaani Kibba hana kick ya kollabo na msanii wa nje na bado watu wameona kwamba kuna kitu ndani yake....kawanyooshe baba maana they are stubborn...na wanajifanya hawajui thaman yako in BF industry...huwezi mfananisha NYERERE na KIKWETE ever..
Umemaliza yote mkuu.Hii ndiyo tunayoita AKILI KUBWA
 
Hahahahahaaaaa yaani Kibba hana kick ya kollabo na msanii wa nje na bado watu wameona kwamba kuna kitu ndani yake....kawanyooshe baba maana they are stubborn...na wanajifanya hawajui thaman yako in BF industry...huwezi mfananisha NYERERE na KIKWETE ever..

Hata peter msechu last year alipata nomination ya afrimam nashangaa we unaona so wandaz kwa kiba
 
Hapo ndio unapoonekana utofauti wa msalaba na jumlisha, kwenye tuzo za AFRIMMA Diamond kapata nomination 7 huku 'mpinzani wake' Alikiba akipata nomination 1 ya kufutia machozi, but at least kapatapo kamoja teh teh bifu linasaidia!

moja kama ya Hadija Kopa na Ommy dimpoz....wale ndio saiz yake aache kujilinganisha na mtabe Mondi Bin Laden
 
Ndo hivyo sasa Kiba ashatoboa kimataifa bila collabo, hakuna namna tena ndo tushawafata hadi huko mlipo na mwakani BET lazima mtaelewa tu.

kwa nini wasanii wa nje hawaombi kufanya nae Kollabo?

Umeona Hata Mrisho Mpoto yuko kwenye nomination moja kama mfalmwe wenu asiye na nyumba

Ali kiba ni sufuri jamani...acheni kumfariji
 
Upepo unavuma vibaya hapa aibu ya mwka naigoja
 
Kibakuli nae alitakiwa apate nomination ya chipukizi pia so Angekuwa na category mbili

Mkuu acha chuki za kijinga bhana nakama haujui sema uelekezwe ni hivii hizo tuzo sio local hivyo lazima msanii anaposubmit kazi yake digital via DROPBOX ACCOUNT huwa ni lazima atume na CV's yake kwenye music industry hivyo KIBA inafahamika tokea 2004 yupo kwenye game ya muziki hapa bongo hivyo CV yake inaongea wazi kuwa yeye sio chipukizi,alafu ata kama KIBA yupo category moja tu lakini hiyo tuzo ni ya maana kubwa sana maana akichukua yeye ndio atakuwa msanii bora wa kiume EASTAFRICA mtake mistake...sasa sijui mtaanza kusema hapana huo ni uzandiki haiwezekani mtu awe maarufu Africa alafu asiongoze ukanda wake(simnajuaga zile kejeli na porojo zenu kama mlizoanzisha Kwenye KTMA2015 baada ya kupigwa kitu cha 6-2)...ni hayo tu mkuu!!!
 
Wadau Afrimma site sometmz inakua DOWN" kwa wale wenye category moja tupeane nafasi jaman cc wengine tuna saba huko mnatuwekea jam.

Haya bhana itajulikana ifikapo tareh 10/10/15 kule Dallas-states!!!
 
Hahahahahaaaaa yaani Kibba hana kick ya kollabo na msanii wa nje na bado watu wameona kwamba kuna kitu ndani yake....kawanyooshe baba maana they are stubborn...na wanajifanya hawajui thaman yako in BF industry...huwezi mfananisha NYERERE na KIKWETE ever..
Khadija kopa,mrisho mpoto wote wamefanya collabo na wasanii wa nje?????Naona ka vile ajabu sana kwenu kiba kuchaguliwa afrimma eeh???
 
Hii tuzo anaweza kuichukua eddy kenzo Ana adavantange sn ya hii ligi ya bwana tembo vs Mr icon

Mkuu sidhani kama hiyo ni big ishu sana maana ata wao waganda wapo wawili kule yani eddykenzo na yule bebecool ambaye naye inapendwa uko kwao Uganda na ata ukienda ukurasa wa AFRIMMA-facebook waganda wengi wameriquest zaidi uyo Bebecool kuliko uyo eddykenzo.
 
Hakika kwenye hizi tuzo haturudi mikono mitupu kulinganisha kiba ambaye yuko sehemu moja tu ambayo na yenyewe uhakika wake wa kushinda ni mdogo sana!

Akishinda diamond kwenye hii category ya best male basi itakua ni kofi na tusi lingine kwa KTMA
Uzuri mwengine ni diamond mwenyewe hizi tuzo anahamasisha watu kumpigia kura tofauti na ilivyo kuwa KTMA hata mashabiki wake hawakupiga kura ki vile!Ana mashabiki wengi sana ukiacha tanzania
 
Back
Top Bottom