AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Ndo hivyo sasa Kiba ashatoboa kimataifa bila collabo, hakuna namna tena ndo tushawafata hadi huko mlipo na mwakani BET lazima mtaelewa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaaaa yaani Kibba hana kick ya kollabo na msanii wa nje na bado watu wameona kwamba kuna kitu ndani yake....kawanyooshe baba maana they are stubborn...na wanajifanya hawajui thaman yako in BF industry...huwezi mfananisha NYERERE na KIKWETE ever..
Umemaliza yote mkuu.Hii ndiyo tunayoita AKILI KUBWAHahahahahaaaaa yaani Kibba hana kick ya kollabo na msanii wa nje na bado watu wameona kwamba kuna kitu ndani yake....kawanyooshe baba maana they are stubborn...na wanajifanya hawajui thaman yako in BF industry...huwezi mfananisha NYERERE na KIKWETE ever..
Yes mamy niko hapaaa!uwwiiii nimetoka kuvote kwenye tuzo zote za diamond anazowania tena kinoko hasaaaa
Kama kawa kama dawa ushindi ndio hazina yetu,tantalila waachie majirani
Ndo hivyo sasa Kiba ashatoboa kimataifa bila collabo, hakuna namna tena ndo tushawafata hadi huko mlipo na mwakani BET lazima mtaelewa tu.
Hahahahahaaaaa yaani Kibba hana kick ya kollabo na msanii wa nje na bado watu wameona kwamba kuna kitu ndani yake....kawanyooshe baba maana they are stubborn...na wanajifanya hawajui thaman yako in BF industry...huwezi mfananisha NYERERE na KIKWETE ever..
Tuanze tu shangwe kabla ya tuzo, yule mswahili haweza acha kuja na tuzo
#tutanyookatu
Hilo halina ubishi,Halafu kwenye Msanii chipukizi tumpigie Kiss DANIEL wa Naijeria jamaa anatisha kinyama,Dimpozz simpigii hata kwa kitanzi na unafiki ule
Hapo ndio unapoonekana utofauti wa msalaba na jumlisha, kwenye tuzo za AFRIMMA Diamond kapata nomination 7 huku 'mpinzani wake' Alikiba akipata nomination 1 ya kufutia machozi, but at least kapatapo kamoja teh teh bifu linasaidia!
Ndo hivyo sasa Kiba ashatoboa kimataifa bila collabo, hakuna namna tena ndo tushawafata hadi huko mlipo na mwakani BET lazima mtaelewa tu.
Korede bello nae anajua kichz hapo n battle ya kiss Daniel vs korede bello
Kibakuli nae alitakiwa apate nomination ya chipukizi pia so Angekuwa na category mbili
Khadija kopa,mrisho mpoto wote wamefanya collabo na wasanii wa nje?????Naona ka vile ajabu sana kwenu kiba kuchaguliwa afrimma eeh???Hahahahahaaaaa yaani Kibba hana kick ya kollabo na msanii wa nje na bado watu wameona kwamba kuna kitu ndani yake....kawanyooshe baba maana they are stubborn...na wanajifanya hawajui thaman yako in BF industry...huwezi mfananisha NYERERE na KIKWETE ever..
Hii tuzo anaweza kuichukua eddy kenzo Ana adavantange sn ya hii ligi ya bwana tembo vs Mr icon
Uzuri mwengine ni diamond mwenyewe hizi tuzo anahamasisha watu kumpigia kura tofauti na ilivyo kuwa KTMA hata mashabiki wake hawakupiga kura ki vile!Ana mashabiki wengi sana ukiacha tanzaniaHakika kwenye hizi tuzo haturudi mikono mitupu kulinganisha kiba ambaye yuko sehemu moja tu ambayo na yenyewe uhakika wake wa kushinda ni mdogo sana!
Akishinda diamond kwenye hii category ya best male basi itakua ni kofi na tusi lingine kwa KTMA