Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

Pionaire

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
1,603
Reaction score
1,135
-Daaah!...ni kwa Mara nyingine tena wale manguli na mahasimu wa BONGOFLEVA nchini...yani ALIKIBA (Ali Saleh Kiba) na DIAMOND PLATNUMZ(Naseeb Abdul Juma) wamekutana kwenye TUZO ZA KIMATAIFA za AFRIMMA AWARDS, Najua teamondi hawaamini na ni ngumu kwao kukubali ila ndo ivyo tena jamaa(KIBA) ndo kashavuka mipaka ya TANZANIA nayeye...hivyo muache kejeli na dharau,Najua mwaka huu AFRIMMA watashangazwa na mvua ya KURA zitakazopigwa ambayo haijawai kutokea kabla na hasa zikitokea TZ na kama kwenye hizi TUZO wao wanapiga pesa basi ni wazi hawatosita kuwarudisha hawa jamaa tena mwakani kwenye kinyanganyiro hicho.

-Haya sasa kipenga kimeshalia "TEAMKIBA" na "TEAMMONDI"... Let's go!!!!!


CHANZO:http://afrimma.com/nominees-2015/
 
-Daaah!...ni kwa Mara nyingine tena wale manguli na mahasimu wa BONGOFLEVA nchini...yani ALIKIBA (Ali Saleh Kiba) na DIAMOND PLATNUMZ(Naseeb Abdul Juma) wamekutana kwenye TUZO ZA KIMATAIFA za AFRIMMA AWARDS wote akiwania category moja ya "BEST MALE ARTISTE IN EASTAFRICA",Najua teamondi hawaamini na ni ngumu kwao kukubali ila ndo ivyo tena jamaa(KIBA) ndo kashavuka mipaka ya TANZANIA nayeye...hivyo muache kejeli na dharau,Najua mwaka huu AFRIMMA watashangazwa na mvua ya KURA zitakazopigwa ambayo haijawai kutokea kabla na hasa zikitokea TZ na kama kwenye hizi TUZO wao wanapiga pesa basi ni wazi hawatosita kuwarudisha hawa jamaa tena mwakani kwenye kinyanganyiro hicho.

-Haya sasa kipenga kimeshalia "TEAMKIBA" na "TEAMMONDI"... Let's go!!!!!


CHANZO:Nominees 2015 |
 
Mechi ya ugenini hamuiwez, huko hakuna longolongo za ktma
 
Hapo ndio unapoonekana utofauti wa msalaba na jumlisha, kwenye tuzo za AFRIMMA Diamond kapata nomination 7 huku 'mpinzani wake' Alikiba akipata nomination 1 ya kufutia machozi, but at least kapatapo kamoja teh teh bifu linasaidia!
 
Nimeshapiga kura zangu 167 na bado barudi tena, teamKiba tumecharuka tupo kazini, nyie endeleen na majungu yenu. Mtaelewa tu
 
Childish. ...

mambo viiiiiipi hahahaha

Kweli chibu anajuwa kunyoosha
AEA
UEA
NEA
AFRICAN ARCHIEVERS

TUMEKUJA NA HII TENA??

HIVI CATEGORY NGAPI VILE??

yani team kiba kwa dharau kabisa nampigia kura alikiba best male east na hachukuwi coz yale sio maembe ile ni tuzo unatakiwa uifanyie kazi haiingii akilini mtu aliosumbua nomination zote ashindane na vitoto EA yani ni forever hiyo itakuwa yetu tu, kama best female rap bet kwa nick minaj

WAPI CHEKECHAAAAA HAHAHAHA OOOOH ANAJUWA KUIMBA HAYA SASA BEST AFRICAN SONG NITAMPATA WAPI
 
Back
Top Bottom