Battle: Matonya Vs MB Dog

At their peak....MATONYA NA MB DOG,nani hatari zaidi?
Aisee matonya alikuwa mkali ila MB mbwa aisee yule jamaa nikikumbuka ngoma zake, ratifa, si uliniambia, mapenzi kitu gani wee acha kabisa.

Na majani alikuwa naua kwenye beat, fikiria beat la latifah, halafu kila kinanda cha si uliniambia.

Hivi unajua ngoma ya kwanza ya Mb doggy ilibidi aimbe na chelea man ila madee akamwaribia chelea man kwa boss?

Sema pia matonya alikuwa nona bwana nikikumbuka siamini macho yangu na yale mabass ya beat za Roy Rip
 
Mdau hiyo SIAMINI...dah[emoji119] sijaonaga kabisa....Mb Mbwa nae dah[emoji119] yani
 
wote fire ila kwa utunzi Man doggy man mbwa ni noma cc mapenzi kitu gani sagalaplasha si ulinambia natamani latiffah
Ebwanaa hiyo sagalaplasha ni hatari "nikamtafuta nimuonee sikumuona tenaaa......hatari madee kuingia pale tu "alivaa jeans ya khaki na kitop Cha blue alikua na mapozi kushinda Yule wa blue kitop kiliandikwa home karibu bujumbura alikua mnyeyekevu Ila mjanja kwa sura pua ya kinyarwanda hapo mdadi ukanipanda ikafika zamu yangu nami stejini kupanda baada ya show kuisha sikumuona katu sikuweza kumpata labda sababu ya wingi watu yeyote atakae muona Basi voda ya 4 double 7 double 8 mwisho 53 namba ya beka hiyoooo heeee.
 
uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…