Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
At their peak....MATONYA NA MB DOG,nani hatari zaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee matonya alikuwa mkali ila MB mbwa aisee yule jamaa nikikumbuka ngoma zake, ratifa, si uliniambia, mapenzi kitu gani wee acha kabisa.At their peak....MATONYA NA MB DOG,nani hatari zaidi?
Mdau hiyo SIAMINI...dah[emoji119] sijaonaga kabisa....Mb Mbwa nae dah[emoji119] yaniAisee matonya alikuwa mkali ila MB mbwa aisee yule jamaa nikikumbuka ngoma zake, ratifa, si uliniambia, mapenzi kitu gani wee acha kabisa.
Na majani alikuwa naua kwenye beat, fikiria beat la latifah, halafu kila kinanda cha si uliniambia.
Hivi unajua ngoma ya kwanza ya Mb doggy ilibidi aimbe na chelea man ila madee akamwaribia chelea man kwa boss?
Sema pia matonya alikuwa nona bwana nikikumbuka siamini macho yangu na yale mabass ya beat za Roy Rip
Mkuu unajua hadi kisanga?MB Dog alikuwa kisanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha hilo nasikia mengi "Kibamia hadi kudanga"Mkuu unajua hadi kisanga?
Ebwanaa hiyo sagalaplasha ni hatari "nikamtafuta nimuonee sikumuona tenaaa......hatari madee kuingia pale tu "alivaa jeans ya khaki na kitop Cha blue alikua na mapozi kushinda Yule wa blue kitop kiliandikwa home karibu bujumbura alikua mnyeyekevu Ila mjanja kwa sura pua ya kinyarwanda hapo mdadi ukanipanda ikafika zamu yangu nami stejini kupanda baada ya show kuisha sikumuona katu sikuweza kumpata labda sababu ya wingi watu yeyote atakae muona Basi voda ya 4 double 7 double 8 mwisho 53 namba ya beka hiyoooo heeee.wote fire ila kwa utunzi Man doggy man mbwa ni noma cc mapenzi kitu gani sagalaplasha si ulinambia natamani latiffah
uhalisiaEbwanaa hiyo sagalaplasha ni hatari "nikamtafuta nimuonee sikumuona tenaaa......hatari madee kuingia pale tu "alivaa jeans ya khaki na kitop Cha blue alikua na mapozi kushinda Yule wa blue kitop kiliandikwa home karibu bujumbura alikua mnyeyekevu Ila mjanja kwa sura pua ya kinyarwanda hapo mdadi ukanipanda ikafika zamu yangu nami stejini kupanda baada ya show kuisha sikumuona katu sikuweza kumpata labda sababu ya wingi watu yeyote atakae muona Basi voda ya 4 double 7 double 8 mwisho 53 namba ya beka hiyoooo heeee.
Mda huu nimeweka playlist ya nyimbo zake hazichuji aisee ni basi kulikua hakuna maendeleo makubwa ya social media kama zama hizi angekua mbaliMb dog