Battle: MOSHI (M-town) vs ARUSHA (chugastan)

Battle: MOSHI (M-town) vs ARUSHA (chugastan)

itoko jr

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2023
Posts
1,126
Reaction score
2,537
Habarini wakuu

I hope mko gud.

Moja kwa moja kwenye mada kumekua na battle nyingi hapa jf kuhusu uzuri na ubaya wa badhaa ya majiji.nini kiko moshi na nini Kiko ARUSHA ambacho kinakuinterest kwa namna moja ama nyingine, actually mimi ninaikubali sana MOSHI kutokana na baadhi ya mambo mbalimbali ikiwemo;

1. Kibila la wachaga kupenda pesa kumeufanya mji wa moshi kukua kibiashara hakika mzunguko wa fedha ni mkubwa ukicompare na chuga.

2. Upendo, watu wa moshi bhana wanapendana December wote wanarudi home kwaajili ya kusalimia ndugu, jamaa na marafiki.

3. Wanaheshimu mila na tamaduni zao.

4...............


Je wewe unaikubali MOSHI au ARUSHA??? na kama hauikubali ni kwsababu gani???



MOSHI kama mbele
 
Naona unajaribu kufananisha makande/ githeri na ngalarumu
 
Wewe dogo kojoa ulale haraka maana bado hujakua kabisa, toka hapo kwenye kochi nenda kitandani haraka......
 
Moshi bado sana. Moshi haina vibe hata kidogo.

Moshi ni mji wa wenyeji na sio mji wa biashara kama za umachinga kule ni hospitality based business. Wageni wanastruggle sana kutoboa.
 
Usifananishe Arusha na Moshi
Moshi haijazifikia hata Moro,Iringa.
Arusha ni mambo mengine aisee kuanzia Hali ya hewa,uzuri wa downtown,vyakula na upatikanaji wa pesa.
 
Back
Top Bottom