Sawa, lazimisha unachotaka kukisikia.Hapana kwenye fursa hapo umekosea mwanza wanalima mazao mengi tu, wanafuga, wanavua; wanachimba madin nk
Ila utoto ni raha Sana sometimes. Ngoja niendelee kujiandaa na mtihani wa taifa wa form 2 hapa.Chuga ni noumaaaa kaka
GDPVitu vingi kama veep ndugu ukiachilia idad kubwa ya watu
Natafuta mchuchu kutoka chuga jombaaMimi niko Arusha miaka yote maeneo mengine nafanya kutembelea ila kusema ukweli Arusha Bado kuifananisha na mwanza
Fact is Mwanza imeizidi Arusha kwa vitu vingi, hata population ya Mwanza ni kubwa kuliko ya Arusha.
Duh! Hapo sasa itabid nikubaliene na mawazo yenu... maana sion mchangiaj hata mmoja aliyesema arusha inaizid mwanzaHata kwenye ushindani kati ya NBI na DSM, pia Wakenya hupenda kuweka Mombasa na Mwanza kwani ni miji inayokaribiana, ingawa Mombasa inazidi kidogo Mwanza. Ukweli ni kwamba kwa kila mizania, Mwanza iko juu ya Arusha. Kwa hali ya hewa Arusha ni green city. Hata hivyo Mwanza ni kubwa, Mwanza ina population kubwa na kiuchumi Mwanza iko juu ya Arusha(angalau kwa sasa)