Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
 
Acha kuishi maisha ya kujitesa kijana Mwenzangu, mimi naishi nipendavyo mimi sa si mtakavyo.
 
Kwaio parking ya hydraulic ndo ukaileta kama point [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ndo ukaona hio parking ndo maisha
 
Asidhani kukaa masaa Mia mbili kazini na kwenda kuegesha fuvu jioni nyumbani ili alfajiri aamkie huko ndo kuwa na kazi
 
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
Naona umeishiwa na hamna chochote cha kushindana na Mwanza, picha zote mlizoweka na kuzirudia mara mia mia na bado mmekaa, watu wa Mwanza kila siku wanaleta vitu new na hawana kelele, mimi ni mkazi wa Toronto Canada lkn nafatilia battle kwa ukaribu sana😂😂😂😂😂😂😂
 
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
 
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
Mbona unarudia rudia sana hii coment kama huna cha kupost ni bora ukacheze zeze.
 
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF [emoji1787][emoji1787]
Ila serikali ilizunguka nchi nzima kuhesabu nyumba
 
Ila serikali ilizunguka nchi nzima kuhesabu nyumba
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
 
Hakika ni majiran mim ni Vancouver
 
hakuna mtu mwenye kazi atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na kupiga picha ili alete jf..
[emoji1][emoji1][emoji1] wabongo bhana.. umepata kazi bado unategemewa na ukoo kwa mshahara wa 700k

Unaona wenzio ni jobless kama nishakuomba 10k ya bando

So wazungu wanaokuja arusha kutalii ni majobless[emoji1] tafuta pesa wewe ili uache kuwanyenyekea hao maboss njaaa
 
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
 
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF [emoji1787][emoji1787]
Ninazo picha za mikoa zaidi 21 kwenye simu yangu wala sio mjini tu[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…