Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Sijakulia familia za mama na baba wanuka jasho kama wewe, mimi ni boss sifanyi kaz kama punda mwisho wa mwezi nilipwe pesa ya mavi mavi[emoji3]

Naishi nitakavyo mimi, we jibwa la mitaani unalala unaota pesa[emoji3] hauna pesa wewe yoko mbili

Relax kijana maisha yapo tu, walaumu wazazi wako kwa kutoweka misingi mizuri ya maisha yako
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
 
Acha kuishi maisha ya kujitesa kijana Mwenzangu, mimi naishi nipendavyo mimi sa si mtakavyo.
 
Kuna siku nilikwenda arusha nikawapostia waskuma parking ya hydraulic ambayo mwanza hawana na hawaijui ila arusha ipo since the early 2000s, mtaa wa mnazi mmoja nbc pale. Yakatulia. Nimeweka hizo tuwili tu, yamekimbia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwaio parking ya hydraulic ndo ukaileta kama point [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ndo ukaona hio parking ndo maisha
 
Asidhani kukaa masaa Mia mbili kazini na kwenda kuegesha fuvu jioni nyumbani ili alfajiri aamkie huko ndo kuwa na kazi
 
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
Naona umeishiwa na hamna chochote cha kushindana na Mwanza, picha zote mlizoweka na kuzirudia mara mia mia na bado mmekaa, watu wa Mwanza kila siku wanaleta vitu new na hawana kelele, mimi ni mkazi wa Toronto Canada lkn nafatilia battle kwa ukaribu sana😂😂😂😂😂😂😂
 
Mbona unarudia rudia sana hii coment kama huna cha kupost ni bora ukacheze zeze.
 
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF [emoji1787][emoji1787]
Ila serikali ilizunguka nchi nzima kuhesabu nyumba
 
Naona umeishiwa na hamna chochote cha kushindana na Mwanza, picha zote mlizoweka na kuzirudia mara mia mia na bado mmekaa, watu wa Mwanza kila siku wanaleta vitu new na hawana kelele, mimi ni mkazi wa Toronto Canada lkn nafatilia battle kwa ukaribu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika ni majiran mim ni Vancouver
 
hakuna mtu mwenye kazi atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na kupiga picha ili alete jf..
[emoji1][emoji1][emoji1] wabongo bhana.. umepata kazi bado unategemewa na ukoo kwa mshahara wa 700k

Unaona wenzio ni jobless kama nishakuomba 10k ya bando

So wazungu wanaokuja arusha kutalii ni majobless[emoji1] tafuta pesa wewe ili uache kuwanyenyekea hao maboss njaaa
 
Tujikumbushe kidogo hotel ya nyota 5 hii ni kiboko ya hotel zote za arusha, na hapo bado finishing, ni mimi cameraman wenu nimewaletea hii picha nikiwa nimeshiba ugali wa shemeji😂😂😂😂
20230211_191156.jpg
 
[emoji1][emoji1][emoji1] wabongo bhana.. umepata kazi bado unategemewa na ukoo kwa mshahara wa 700k

Unaona wenzio ni jobless kama nishakuomba 10k ya bando

So wazungu wanaokuja arusha kutalii ni majobless[emoji1] tafuta pesa wewe ili uache kuwanyenyekea hao maboss njaaa
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
 
Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF [emoji1787][emoji1787]
Ninazo picha za mikoa zaidi 21 kwenye simu yangu wala sio mjini tu[emoji1]
20230125_174150.jpg
 
Back
Top Bottom