Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Yaani hata hajui London iko na bahari, hawa wajanja wa Arusha tabu tupuHapa London [emoji116]View attachment 2524257View attachment 2524258
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Nairobi waliona hali tete wakatengeneza angalau kibwawa uhuru parkLondon, jo'burg zimezingukwa na maji ya bahari na mito mikubwa ukitoa tu hiyo Nairobi.
Duh... Ndo masharti yakulimit utumie Infinix[emoji23][emoji23], hapana bhanaaHao ni wabunge wa sangoma akikiuka masharti tu kwa heri
Wamejazana humu,wanatiana ujinga 🤣🤣Mkuu huo muda sina..
Kitu ambacho nimegundua pia huu uzi ni wa wasukuma haiwezeni niandiake post moja nijibiwe mara 30 na watu tofauti tofauti mnanijazia notifications
🤣🤣🤣🤣Vyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF 🤣🤣
Mji ukiwa mdogo ndio hivyo, kila kitu kiko mjini.
Na kwa vile stendi yao iko mjini basi atafikiria na miji mingine iko hivyo.
Mji ukiwa mdogo ndio hivyo, kila kitu kiko mjini.
Na kwa vile stendi yao iko mjini basi atafikiria na miji mingine iko hivyo.
Mkuu tuwaache wanaumia sana, sasa hivi wanakuja na sababu za kitoto sana utafikiri sisi ndiyo wanzilishi wa maada hii. Yaani mtu anaanzisha battle halafu hataki justification ya picha au data. Inabidi watuambie kwanza lengo lao kuanzisha maada hii lilikuwa ni Nini hasa na walitegemea tubishane kwa namna Gani.View attachment 2524526
Karibuni rockcity
Toka mumepata hako kapicha naona ndio mnatumia kujifichia 😁😁🤪🤪View attachment 2524526
Karibuni rockcity
Ushwazi,mawe,mapambo ,jangwa rubbishTujikumbushe kidogo hotel ya nyota 5 hii ni kiboko ya hotel zote za arusha, na hapo bado finishing, ni mimi cameraman wenu nimewaletea hii picha nikiwa nimeshiba ugali wa shemeji😂😂😂😂
View attachment 2524408
Unazungusha kiswahili sanaHizo infrastructure za arusha ziko wapi ......
Infrastructure ni man made na muda wowote zinawekwa ila mazingira ni nature na ndio hutengeneza mandhari ya kuvutia watu ..
Jiulize johansburg ni mji mkubwa kuliko cape town..lakin watu wanapenda kwenda Capetown kuliko Joburg ...jibu lipo kichwani mwako ...
kwanza Kwa taarifa yako Mwanza inaizidi mbali Arusha Kwa city explore tourism..idadi ya watalii wa ndani na nje wanaokuja Kutalii mazingira ya mji ..ukitaka kuamini nenda you tube kasearch vlogs za city tour kati ya mwanza na Arusha uone ni mji Gani utakuwa na video nyingi za watu Toka maeneo mbalimbali ya nchi na Africa mashariki..
Arusha kiutalii ni kama point ya mapumziko kuelekea mbuga za wanyama nothing more [emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Geneva ya Africa [emoji23][emoji23]Wamejazana humu,wanatiana ujinga [emoji1787][emoji1787]
Tulinganishe barabara za arusha na mwanza
Huku si ndio utakimbia sasa ....[emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]Tulinganishe barabara za arusha na mwanza
Mtandao wa barabara za lami
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Leta hizo barabara za arushaTulinganishe barabara za arusha na mwanza
Mtandao wa barabara za lami
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
MwehuVyovyote vile hakuna mtu mwenye kazi na akili timamu atafanya huo ujinga wa kuzunguka mjini na smartphone kutafuta magorofa ili aleta JF [emoji1787][emoji1787]
Kama haipo mwanza na dar bas haina tija ni iIngekuwa ipo mwanza au dar sasaaa
Mpka serikal inajua second city ni mwanza ila kuna dogo mmoja kutoka unga LIMITED anakaza fuvu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MNAPATA NGUVU WAPI YA KUIFANANISHA MWANZA NA ARUSHA? SIJAWAHI KUANDIKA KITU KWENYE HUU UZI LAKINI MWANZA IMEIACHA ARUSHA KWA VIWANGO VINGI SAANA...
MIMI NI MSWAHILI NIMEZALIWA HAPO MBELE KIDOGO YA SHULE YA THAQAFA KARIBU NA HOTEL YA PIGEON, JIRANI KABISA NA SOKO LA MILONGO....
NIMEKAA ARUSHA MUDA KIDOGO KWA MIAKA 4 NIKAENDA MOSHI THEN NIKARUDI ARUSHA KWAHIYO ARUSHA NAIJUA KWA KIASI CHAKE.....
LAKINI NI DHAMBI KUBWA SAANA KUIFANANISHA MWANZA NA ARUSHA, ARUSHA ni mkoa ambao umejaa pride sana ushamba mwingi tofauti kabisa na watu wa Mwanza, ukipata tajiri wa ARUSHA misifa mingiii akiingia sehemu atataka ajilikane yeye, tofauti na ndugu zangu wasukuma unaweza kukutana na Don hata usimdhanie (ni kwa sababu ya life style yao wengi wao, too humble)..
Wazee Mwanza inakua vibaya mno, mimi NIMEZALIWA mjini kati, tokea ghorofa lililokuepo la kishimba miaka hiyo, kwa macho nashuhudia maendeleo makubwa sana, mpaka muda mwingine nawaza vipi kusingekua na milima?....nadhani mabatini, nyambiti. Nyamhuge ingekua ni mijengo mitupu, maana mtu wa nyamhuge kufika town kwa kupitia mabatini but kutokana na milima anazungukia maduka 9 au buzuruga.....
Mwanza Bado inapumua, zamani tulikua na mashamba huko nyasaka sio zamani saaana miaka ya 2000 tulikua tunaenda kulima viazi, nimerudi kushangaa Nikabaki kucheka mwenyewe...
Nimechoka Kuandika Lakini juzi kati navuka maji naenda sengerema nilikaa na wakili mmoja akasema juzi kati amefunga mkataba HAPO capripoint milimani mtu kanunua kiwanja kwa million 900...Just imagine sio kiwanja ni mawe, Bado gharama za kusawazisha.
Nina hakika Wapiga Domo wengi wa huko Arusha wakipewa viwanja Bure Hapo capripoint hawatakua na uwezo wa kujenga kitu maana levelling tu, ni gharama ya kujenga stand mpya.