Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hakuna nyumba ya maana hapo ata moja, hizo njiro wanakuona kima tu. Nyie nyie. Embu kwanza zile picha mbili sijui nimewawekea mnatafutana.
Naishi Njiro, Tanesco wacha kudanganya umma. Ukitoa hiyo hiyo barabara ya Njiro, hakuna cha maana labda chuo cha uhasibu tu
 
Tumia logic ata kidogo unalazimisha mikoa mikubwa na barabara sawa na mkoa mdogo kieneo.
Mnawezana na mdomo tu,nmetoa mfano dar ni mkoa mdogo sana na una km 601 za barabara zenye lami Nyie mna excuse gani?

Sasa hv mnasema ooh trunk road this trunk road that kwahyo mlitakaje? Tatizo tukiwaita washamba mnahisi tunawaonea lakini nyie kweli ni washamba sana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Barabara mmepigwa KO na hii mada ya barabara imeisha

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Aya tumekubali ..kapambane na morogoro sasa
[emoji28][emoji28][emoji28]
Paved trunk roads ni km 450
Paved regional road 150
Total =600 km
Morogoro hyo hapo Ina km 600 ...no excuse kuwa imewazidi ubora ..
Maana nimekupa argument zangu umeona takataka.aya pambana na Hali yako [emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya hapo aje kwa mkoa wa Pwani na kigoma ya sasa hivi akitoka hapo Dodoma si anataka total za barabara zenye lami including trunk road.
 
Hapa unaongea kimantiki zaidi,chalii wa Matejoo hawezi kukuelewa kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…