Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle ni mwanza vs arusha
Mnapoleta gdp hapa hua mnaleta gdp za mwanza sio city Council, tatizo mkoshaona overall mnalemewa mnaaza kulia maayo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sasa hapa nani kaelemewa? Chukua hata za Moshi ziweke Arusha ukimaliza tunakusubiri kwenye uzuri wa jiji la Mwanza vs Arusha [emoji3][emoji3]
 
Huo mkoa bado sana...yaan 29% ndo barabara za lami zilizobaki ni vumbi kwenda mbele[emoji28]..Na lile vumbi la Arusha sasa
Hili hapa vumbi lenyewe na kiharufu flan kinakera.
Screenshot_20230220-223323_Chrome.jpg
 
Hasa huyo msuya ndio alikuwa fala sana alipeleka umeme adi kwenye migomba, barabara adi kwenye vichochoro, huyo msuya alikuwa mbaguzi sana, pili mkapa alipeleka maendeleo sana huko kaskazini kuliko sehemu yoyote kwa nguvu ya mke wake kwasababu alikuwa mchaga, walikuwa wamezoea maendeleo ya mbeleko akaja jemedari akasema kila sehemu inastahili kupata maendeleo ikawa tabu kwao na kuanza kumchukia magufuli, uzuri Rais Samia amesha wajua hao watu naye amewakatia mirija ya mbeleko.
Unajidanganya, itajengwa dualcarriage way from Tengeru all the way hadi Holili...ni dualcarriage way ndefu itakayounganisha Arusha na Kilimanjaro hadi mpakani Rombo...
Bila kusahau barabara za miji, kuna barabara ya kuunganisha wilaya ya siha na rombo nayo inakuja...
Kwa kifupi serikali hua haikosei kujenga sshemu ambazo wanaokota kodi hua wanajua wanachofanya

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Huu ndo ulimbukeni sasa, ongelea vitu vyenye ushawishi. Kwamba Mwanza Haina watoto wa Arusha wasitaka kurudi kwao?. Kila baa utawakuta halafu bishana kwa akili hatuendi hivyo
Mtu aondoke Geneva of Africa halafu aende shamba city halafu asirudi hahaha😂🤣🤣
 
Hakuna mahali kama A Town shamba city munapaniki nini na hapo bado hatujatuma mapicha za mamiradi za mabilion yanayoendelea.
 
Hayo meno ya rangi sio kuoza. Pia shinyanga na mwanza kuna wasukuma kibao nao wanarangi kwenye meno

Maghorofa mwanza ni issue. Ndio wameanza kuyaona juzijuzi tu. Unategemea nini? Niliwapa list ya maghorofa marefu Tanzania, Mwanza hakuna ata moja. Mwanza ni malimbukeni ndio maana wanajishindanisha na Arusha, huwezi kuta watu wa ARUSHA wanahangaika kujilinganisha na mwanza, hawapo insecure.
Wao wanashindana na sisi wakati sisi tunashindana kimataifa. Hahaha sisi hatunaga mbambamba,wakituma picha wanatuma picha za samaki 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom