Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Ushamaliza kila kitu,mwache asome kimya kimya ajifunze,pengine hakuwa hata anajua trunk roads maana yake nini.Hizo bold nyeusi ndio trunk roads
Dar Hadi kiluvya ni km 32
Dar Hadi bunju ni km 37
Dar Hadi kongowe ni km 16
JUMLA =KM 75
acha ushwahili kijana View attachment 2525600View attachment 2525601
Sent using Jamii Forums mobile app