Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Sasa kwenye rasilimali chache za fedha kwann upeleke pesa nyingi kwenye kitu ambacho tija yake ni ndogo?au kwakua ndio kwa mkeo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ata kama ingekua ni 1.5T maadam ni kwa ajili ya kutatua kero za wananchi bas ni sawa.

Vipi daraja la kigamboni limesharudisha pesa au na lenyew lilijengwa kimahaba

#RELAX [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kwenye rasilimali chache za fedha kwann upeleke pesa nyingi kwenye kitu ambacho tija yake ni ndogo?au kwakua ndio kwa mkeo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Katika siku ambayo hujatumia akili ,,ni Leo ...
Hawa watu na magari ,,yakiwa yanakaa masaa 2 kwenye foleni kusubiri feli ...ni hasara kubwa mno kiuchumi...

Sa hvi Kuna online tuition za uchumi .. google ujifunze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna traffic ya maana hapo wangeongeza vivuko kwanza

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Eti wangeongeza vivuko ,,,Kwa akili yako kabisa ...kazi ya miundombinu ni kurahisisha huduma na transfer ya uchumi....
Hamna nchi yenye akili Duniani itatumia vivuko kwenye transfer ya watu almost watu milioni 10 ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…