Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ila sounaona tourism industry imerudi relini kwahyo mambo yanazidi kua sawa

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sa hv tourism sector sio centralized kama zamani kuwa Kila kitu Arusha ... maeneo mengine ya utalii yanazidi kupata momentum,,kama Zanzibar, mwanza, Kilimanjaro, Morogoro,na iringa..
Habari za Arusha zinapitwa na wakati kama huamini subiri baada ya miaka 5 ..
Zamani AICC ilikuwa inawabeba lakin sa hv baada ya kufunguliwa Kwa JNICC , mikutano mingi inaishia dar ,,, dodoma na wao wanajenga conference center kubwa ,the same applies to Mwanza..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utalii siku zote Zanzibar inaongoza sema wewe hapa umekurupuka tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Health system Mwanza Iko million miles ahead of Arusha [emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema health system alafu umejikita Bugando?health system ni kuanzia chini kabisa hadi juu...Hata ivyo kwa Arusha hakuna Hospital kubwa ya kufanana na Bugando ilo liko wazi...
Tupekue kuanzia chini hadi juu ambako ndio wanahudumiwa 99% ya wagonjwa

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
We pwagu basi mjanja fala
Sasa hapo unaweza ukafananisha na empire tu? Bado the hub, kipong? Tena kwenye bata ndo asijaribu yani, sijui ma club sijui nini, mwanza tulizeni kipago. Tuliotoka dar tunajua.
 
Kwan takwimu za sensa hujaziona...au hujui kuwa uwepo wa taasisi kubwa ya afya ndio kuimarika Kwa taasisi ndogo zinazozunguka eneo husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo unaweza ukafananisha na empire tu? Bado the hub, kipong? Tena kwenye bata ndo asijaribu yani, sijui ma club sijui nini, mwanza tulizeni kipago. Tuliotoka dar tunajua.
Bata gan mlilonalo ,,,,au shivazi [emoji28][emoji28].. mwanza unapata Kila burudani unayoitaka ,,,,,, nitajie resorts 3 Kali hapo Arusha nilefts Uzi [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan takwimu za sensa hujaziona...au hujui kuwa uwepo wa taasisi kubwa ya afya ndio kuimarika Kwa taasisi ndogo zinazozunguka eneo husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo sio kweli kijana, Unafahamu Arusha kuna hospital nyingi kuliko Mwanza? Bugando ni tertiary Hospital ambayo inahudumia only 1% of population twende huko chini ambako ndio wamahudumiwa wananchi wengi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Ndio nimekuambia report ya sensa hujaona mwanza Ina vituo vingapi vya afya .. hospital,zahanati nk .....
Imeiacha mbali Arusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Overall mko vizuri ila Hospital mmezidiwa

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28]we si ulisema tuangalie chini waliko watu wengi ...watu wengi wapo kwenye zahanati na vituo vya afya ...
Hata hvyo gap la hospital tatu tayari limezibwa
Ujenzi wa hospital kubwa 3 unaendelea mjini hapa .
[emoji116]
Moja wapo ni hii .ROYAL HOSPITAL AND CARE[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaendelea manake bado.
Yes system inaanzia chini...kwa population ya chuga naona namba haziko vibaya...

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…