Misaada ya serikali ipo kwenu we KIBOGA. kwanza Arusha has nothing to do with tourism. Mmependelewa sana. Kuna Nini kinaweza kumleta mtalii Arusha. Asiende Kilimanjaro, manyara na Mara?. HQ kibao zipo Arusha kwa upendeleo tu lakini pamoja na hayo mko wapi?. Unapoongelea suala upendeleo wa serikali lazima uwe unawaza siyo kukurupuka. Nyie na Dom ndo vinara wa kupendelewa. Nina weza kukutajia majengo ya taasisi za kiserikali na asasi zingine kwenye mkoa wenu halafu upige hesabu ni kipi nyinyi kama residents mmefanya kwa mkoa wenu. Centre ya tourism haikupaswa kuwa Arusha ihali hamna kivutio chochote Cha maana.