Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mkuu ukabila aliuleta yule mwendazake kwa kugawa maendeleo huku na kuacha kule
Nimekuuliza kina Msuya walijenga kaskazini wao hawakuwa wakabila?
Bora hata Magu kawajengea daraja la Wami, miradi wa maji 500b, barabara ikiwemo hiyo ya njia nne, kina Msuya hawakujenga chochote kanda ya ziwa achilia mbali mza.

Sasa nani wakabila hapa?
 
Mwanza kuna maendeleo gani wakati takwimu zinaonesha ninyi ni masikini munaishi kwa misaada ya serikali.?!
Nukuu.."Mkuu ukabila aliuleta yule mwendazake kwa kugawa maendeleo huku na kuacha kule"

Kwaio ulivosema mwendazake alipendelea maendeleo kuleta mwanza ulikua unamaanisha maendeleo gani?
 
Nimekuuliza kina Msuya walijenga kaskazini wao hawakuwa wakabila?
Bora hata Magu kawajengea daraja la Wami, miradi wa maji 500b, barabara ikiwemo hiyo ya njia nne, kina Msuya hawakujenga chochote kanda ya ziwa achilia mbali mza.

Sasa nani wakabila hapa?
Una hakika Msuya hakupeleka maendeleo mwanza?!
 
Nukuu.."Mkuu ukabila aliuleta yule mwendazake kwa kugawa maendeleo huku na kuacha kule"

Kwaio ulivosema mwendazake alipendelea maendeleo kuleta mwanza ulikua unamaanisha maendeleo gani?
Namaanisha pamoja na upendeleo muliopata kwa mwendazake bado haijapunguza umasikini uliopo apo mwanza mkuu.
 
#ELIMU

Sehem yeny watu weng sio ajabu kukuta maskin weng. Kanda ya ziwa ndo sehem yenye watu weng nchini ulitak idadi ya maskini ifanane na kaskazin. India inamaskini weng ila ni nchi tajir
 
Aliiba
Aliiba tu
nini? Mwanza maji safi tu ni tatizo wakati muna Lake Victoria, vyoo bado ni tatizo watu wanaenda kuny@ ziwani..mumebaki kuzaliana tu ndio maana munageuzwa wapiga kura kila mwanasiasa mgombeya uraisi anakimbilia uko maana anauhakika wa kupata kura lakini maendeleo sifuri
 
Attachments

  • 0B972A30-0CDB-4FFF-B72C-940F138C1CC0.jpeg
    0B972A30-0CDB-4FFF-B72C-940F138C1CC0.jpeg
    17.2 KB · Views: 4
#ELIMU

Sehem yeny watu weng sio ajabu kukuta maskin weng. Kanda ya ziwa ndo sehem yenye watu weng nchini ulitak idadi ya maskini ifanane na kaskazin. India inamaskini weng ila ni nchi tajir
Sasa munashindwa kutumiya rasilimali watu kujiletea maendeleo adi serikali iwaletee?!
 
Aliiba

nini? Mwanza maji safi tu ni tatizo wakati muna Lake Victoria, vyoo bado ni tatizo watu wanaenda kuny@ ziwani..mumebaki kuzaliana tu ndio maana munageuzwa wapiga kura kila mwanasiasa mgombeya uraisi anakimbilia uko maana anauhakika wa kupata kura lakini maendeleo sifuri
Kisha uje na mikoa tajir zaid Tanzania
 
Daraja la kigamboni linaunganisha watu wangap. Ujui kama busis ni kiunganishi cha geita, bukoba, kigoma mpaka Uganda au unajiweka flight mode
Kutoka Geita adi mwanza bila daraja ni mwendo wa masaa mangapi? Kutoka mwanza mjini adi bukoba bila daraja ni mwendo wa masaa mangapi? Umuhimu wa daraja apo uko wapi? Mwendazake alitumia utashi wake tu maana alikuwa hashauriki.
 
Sasa munashindwa kutumiya rasilimali watu kujiletea maendeleo adi serikali iwaletee?!
Mwanza iko hivyo ilivyo sabab ya watu wa mwanza ni mahustler. Serikali mchango wake ni mdgo

Hamn national park arusha au tourist attraction yoyote ya maan ila office za tourism company ziko arusha kama sio mbeleko ya serikal ni nin.
 
Namaanisha pamoja na upendeleo muliopata kwa mwendazake bado haijapunguza umasikini uliopo apo mwanza mkuu.
Nyinyi upendeleo mliopata toka uhuru umewasaidia nini
Sasa munashindwa kutumiya rasilimali watu kujiletea maendeleo adi serikali iwaletee?!
Wewe maendeleo gani umefanya?
Mzungu atafute pesa aje kuangalia wanyama, useme pesa umetafuta wewe?
 
Kutoka Geita adi mwanza bila daraja ni mwendo wa masaa mangapi? Kutoka mwanza mjini adi bukoba bila daraja ni mwendo wa masaa mangapi? Umuhimu wa daraja apo uko wapi? Mwendazake alitumia utashi wake tu maana alikuwa hashauriki.
Kwani kutoka dar mpaka kigamboni ni mwendo wa masaa mangapi bila daraja, au umeshavuta?
 
Back
Top Bottom