shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Ni lete hoja sehem hakuna hoja kwan mim ni mweh kama wew.Leta hoja apa acha kuleta mbambamba
Thibitisha arusha ndo kichwa cha Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lete hoja sehem hakuna hoja kwan mim ni mweh kama wew.Leta hoja apa acha kuleta mbambamba
Unuhimu wake ni upi kama siyo ukabila ndio uliwekwa mbele zaid na yule mwandazake?! Maana jamaa lilitaka kufanya kanda ya ziwa kama dubai vile wakati watu wake ni masikini wa kutupa. Lile daraja ni moja ya miradi ya kikumbavu aliyofanya lile jitu. Bora limelala kuzimuKama sio ushabiki, lile daraja huwezi kuliita upumbavu.
Shida ni kwamba hamtembei, muuza matunda utajuaje umuhimu wa miuondombinu mbalimbali nchini?
Mkiuza matunda huko Chuga mnaona hakuna umuhimu wa mengine kufanyika.
Umesahau ukanda uliofanywa na kina Msuya au unajitoa ufahamuUmesahau ukanda aliofanya lile jitu mwendazake? Kuteketeza pesa za serikali kwa kujenga kiwanja cha ndege kisicho na faida yeyote kwa ninyi wafugaji masikini wa uko shamba city
Halafu unaweza ujinga? Kutangaza vivutio vya utalii ni ujinga? Kweli wasukuma munatabu sana ushamba mzigo sana
Ni lete hoja sehem hakuna hoja kwan mim ni mweh kama wew.
Thibitisha arusha ndo kichwa cha Tanzania?
Magufuli bridge - Arusha roads= change inabaki🤣🤣🤣Unuhimu wake ni upi kama siyo ukabila ndio uliwekwa mbele zaid na yule mwandazake?! Maana jamaa lilitaka kufanya kanda ya ziwa kama dubai vile wakati watu wake ni masikini wa kutupa. Lile daraja ni moja ya miradi ya kikumbavu aliyofanya lile jitu. Bora limelala kuzimu
Unuhimu wake ni upi kama siyo ukabila ndio uliwekwa mbele zaid na yule mwandazake?! Maana jamaa lilitaka kufanya kanda ya ziwa kama dubai vile wakati watu wake ni masikini wa kutupa. Lile daraja ni moja ya miradi ya kikumbavu aliyofanya lile jitu. Bora limelala kuzimu
Ulitaka alijenge njiro au unga LIMITEDUnuhimu wake ni upi kama siyo ukabila ndio uliwekwa mbele zaid na yule mwandazake?! Maana jamaa lilitaka kufanya kanda ya ziwa kama dubai vile wakati watu wake ni masikini wa kutupa. Lile daraja ni moja ya miradi ya kikumbavu aliyofanya lile jitu. Bora limelala kuzimu
Gdp wamezidi wa mpaka na shinyangaSasa unaona ni akili za kawaida kusema kwamba Arusha ndio kichwa cha Tanzania?
Utapoteza muda wako bure tu.
Huu utani umepita uwezo wa akili zake, hii equation hawezi kuilewa.Magufuli bridge - Arusha roads= change inabaki🤣🤣🤣
Nshajua ni mwehu siko nae serious [emoji23][emoji23]Sasa unaona ni akili za kawaida kusema kwamba Arusha ndio kichwa cha Tanzania?
Utapoteza muda wako bure tu.
Kwa uchumi wa dunia tunapoelekea utalii ndio utakuwa namba moja kwa kuingiza mataifa faida kubwa. Angalia Dubai, wanavyofanya. Serikali imesanuka. Mama Samia amesanuka ndio maana alifanya ile video ya royal tour. Kwa maana iyo Arusha ndio kitovu cha utalii nchi hii na hilo aubishi. Ndio maana nakumbiya miaka mitano mbele Arusha itakuwa next level kitaifa na kimataifa bisha ama meza wembe Arusha ni kichwa cha nchi.Ni lete hoja sehem hakuna hoja kwan mim ni mweh kama wew.
Thibitisha arusha ndo kichwa cha Tanzania?
Mimi muuza matunda lakini naweza lisha familia ako na ukoo wako wote pale mwanzaMuuza matunda huwezi kuelewa umuhimu wa madaraja hata siku moja, hivyo siwezi kukueleza chochote.
Wafanya biashara wanaolazimika kusafiri na kusafirisha mizigo yao ndio wataelewa, wewe MUUZA MATUNDA huwezi kuelewa.
Ukishakosa hoja munabaki kutukana watu 🤣🤣🤣Nshajua ni mwehu siko nae serious [emoji23][emoji23]
Umetumia figure Gani kupima umaskini wa mtu mmoja mmojaKwaiyo gari kwako ndio maendeleo?! Kweli shamba city munazingua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vipi kuhusu maisha ya mutu mmoja mmoja mbona umasikini umewajaa pamoja na was lile jitu mwendazake kuwapendelea?
Kwa kuuza matunda tu? 😄Mimi muuza matunda lakini naweza lisha familia ako na ukoo wako wote pale mwanza
Hili ndio sababu ya kudai kuwa, Arusha ni kichwa cha Tanzania?Kwa uchumi wa dunia tunapoelekea utalii ndio utakuwa namba moja kwa kuingiza mataifa faida kubwa. Angalia Dubai, wanavyofanya. Serikali imesanuka. Mama Samia amesanuka ndio maana alifanya ile video ya royal tour. Kwa maana iyo Arusha ndio kitovu cha utalii nchi hii na hilo aubishi. Ndio maana nakumbiya miaka mitano mbele Arusha itakuwa next level kitaifa na kimataifa bisha ama meza wembe Arusha ni kichwa cha nchi.
Lile jitu lilikuwa jizi miradi mingi sifuri ziliongezwa. Jitu linanunua ndege kwa cash ushaona wapi dunia hii?! Tulikosea sana kama taifa kumpa nchi msukuma. Bahati nzuri Mungu katuhurumia..😀😀😀Magufuli bridge - Arusha roads= change inabaki🤣🤣🤣
Ndio Arusha ni kichwa cha Nchi. Kubali ukatae utajua mwenyewe hii nchi bila A Town ni takataka tuHili ndio sababu ya kudai kuwa, Arusha ni kichwa cha Tanzania?
Yani matunda tu achana na mengine 😂😂😂Kwa kuuza matunda tu? 😄
Arusha inachangia pato la taifa kuliko mikoa mingine ya Tz?Ndio Arusha ni kichwa cha Nchi. Kubali ukatae utajua mwenyewe hii nchi bila A Town ni takataka tu