Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Lakini hata wewe ukifikiria kwa makini, muuza matunda aliyeko Arusha, anaweza kuuona umuhimu wa daraja lililopo Mwanza?Yani matunda tu achana na mengine 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini hata wewe ukifikiria kwa makini, muuza matunda aliyeko Arusha, anaweza kuuona umuhimu wa daraja lililopo Mwanza?Yani matunda tu achana na mengine 😂😂😂
21% ya pato la nchi linatokana na utalii ambapo Chugastan ndio kinara. Achana na mambo mengine kama madini na mazaga mengine 😀😀😀Arusha inachangia pato la taifa kuliko mikoa mingine ya Tz?
Umesahau ukanda aliofanya lile jitu mwendazake? Kuteketeza pesa za serikali kwa kujenga kiwanja cha ndege kisicho na faida yeyote kwa ninyi wafugaji masikini wa uko shamba city
Halafu unaweza ujinga? Kutangaza vivutio vya utalii ni ujinga? Kweli wasukuma munatabu sana ushamba mzigo sana
Nauona umuhimu wa daraja la kigamboni maana limeleta musaada kwa wakazi wa kigamboni. Kwani tatizo ni kuishi mwanza?! Takwimu si zipo mkuu?!Lakini hata wewe ukifikiria kwa makini, muuza matunda aliyeko Arusha, anaweza kuuona umuhimu wa daraja lililopo Mwanza?
Mkuu ukabila aliuleta yule mwendazake kwa kugawa maendeleo huku na kuacha kuleNarudia Kukuambia Ukabila na Ukanda Nihatari kwako
Sio wote tuna Akili zakijinga na Kibaguzi kama Zako mimi si Msukuma wala Siishi Mwanza
Hao unao waita Washamba Sijui mnatumia Kigezo gani zaidi ya Ujuha Wenu tu
Swali langu bado haujalijibu, nimekuuliza je Arusha ndio mkoa wenye pato kubwa kuliko miko mingine, kama ulivyodai bila Arusha hakuna Tz?21% ya pato la nchi linatokana na utalii ambapo Chugastan ndio kinara. Achana na mambo mengine kama madini na mazaga mengine 😀😀😀
Hiki unasema ni trash kama hulet statistics za kuthibitisha unachosemaKwa uchumi wa dunia tunapoelekea utalii ndio utakuwa namba moja kwa kuingiza mataifa faida kubwa. Angalia Dubai, wanavyofanya. Serikali imesanuka. Mama Samia amesanuka ndio maana alifanya ile video ya royal tour. Kwa maana iyo Arusha ndio kitovu cha utalii nchi hii na hilo aubishi. Ndio maana nakumbiya miaka mitano mbele Arusha itakuwa next level kitaifa na kimataifa bisha ama meza wembe Arusha ni kichwa cha nchi.
Mwehu sio tusi ni wadhifaUkishakosa hoja munabaki kutukana watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
21% umeitoa wap kaka na sis tuone [emoji23].21% ya pato la nchi linatokana na utalii ambapo Chugastan ndio kinara. Achana na mambo mengine kama madini na mazaga mengine [emoji3][emoji3][emoji3]
Huyo jamaa ni mwehu sijapata kuona ,,,Swali langu bado haujalijibu, nimekuuliza je Arusha ndio mkoa wenye pato kubwa kuliko miko mingine, kama ulivyodai bila Arusha hakuna Tz?
Tukirudi kwenye hilo jibu lako, je 21% ya pato la taifa linalotokana na utalii, linatokea Arusha pekee? Vivutio vya utalii vipo Arusha pekee?
Tueleze sasa kwa ushahidi, kwenye hiyo 21% Arusha pekee ina asilimia ngapi?
Kwaio la busisi halileti msaada kwa wananchi?.Nauona umuhimu wa daraja la kigamboni maana limeleta musaada kwa wakazi wa kigamboni. Kwani tatizo ni kuishi mwanza?! Takwimu si zipo mkuu?!
Iyo Chugastan pekee huelewi nini apo uko kwingine ni chini ya 1%😂😂😂Swali langu bado haujalijibu, nimekuuliza je Arusha ndio mkoa wenye pato kubwa kuliko miko mingine, kama ulivyodai bila Arusha hakuna Tz?
Tukirudi kwenye hilo jibu lako, je 21% ya pato la taifa linalotokana na utalii, linatokea Arusha pekee? Vivutio vya utalii vipo Arusha pekee?
Tueleze sasa kwa ushahidi, kwenye hiyo 21% Arusha pekee ina asilimia ngapi?
Busisi siyo kama kigamboniKwaio la busisi halileti msaada kwa wananchi?.
Mbona hata mama ananunua ndege kwa cash?Lile jitu lilikuwa jizi miradi mingi sifuri ziliongezwa. Jitu linanunua ndege kwa cash ushaona wapi dunia hii?! Tulikosea sana kama taifa kumpa nchi msukuma. Bahati nzuri Mungu katuhurumia..😀😀😀
Em tuambie hayo maendeleo mwanza yapo sabab ya magu hali yakuwa sehem nyingine hayapo?Mkuu ukabila aliuleta yule mwendazake kwa kugawa maendeleo huku na kuacha kule
Vipi migomba imekomaaShamba City nawakimbiza munaishia kupanick 🤣🤣🤣🤣
Wewe mvuvi wa dagaa unajua nini kuhusu mambo ya GDP 🤣🤣🤣🤣21% umeitoa wap kaka na sis tuone [emoji23].
Kwa iyo wewe ni mwehu?! Shamba city munamatatizo gani?!Mwehu sio tusi ni wadhifa
Mijitu ya namna hii inanishangaza sana. Busis sio kama la kigamboni how tueeleze tukueleweBusisi siyo kama kigamboni