Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Zipi? Compile uweke ana kwa ana tuone. Alafu ujue mi ata arusha sipo lakini nikienda this time ntapiga picha kama washamba wa mwanza ili mtie adabu. mwanza kuna nini babu we
Babu we tena [emoji23] unaishi pwani au
 
Mwanza ni mji mkubwa ila sasa kukuta mbuzi na kondoo katikati ya mji wakichungwa ndo huwa nachoka kabisa
 
Mwanza ni mji mkubwa ila sasa kukuta mbuzi na kondoo katikati ya mji wakichungwa ndo huwa nachoka kabisa
Hii ni Dar town kwenu
20230223_190326.jpg
View attachment 2527651
 
Zipi? Compile uweke ana kwa ana tuone. Alafu ujue mi ata arusha sipo lakini nikienda this time ntapiga picha kama washamba wa mwanza ili mtie adabu. mwanza kuna nini babu we
He he he mpaka umeamua kuimba kabisa na taarabu hapo mwisho.Btw hebu jifunze matumizi ya herufi h ,hatuandiki 'ata' inaandikwa 'hata' , Alafu ni halafu,ntapiga ni nitapiga [emoji3][emoji3]
 
He he he mpaka umeamua kuimba kabisa na taarabu hapo mwisho.Btw hebu jifunze matumizi ya herufi h ,hatuandiki 'ata' inaandikwa 'hata' , Alafu ni halafu,ntapiga ni nitapiga [emoji3][emoji3]
Huyo binti yupo ni vibe balaa[emoji1]
 
Mada Ilikuwa Nzuri lakini Kumejaa ushabiki usio na Kichwa wala Miguu
Ile hali yakudharau Wengine Ndio Imejionyesha Sana hapa
Yaani Kuna jamii inajiona Bora kuliko Jamii nyingine Kitu ambacho sio Sahihi.
Matusi,Vijembe,Dhihaka Ndio Vimekuwa Hoja Badala yakujikita kwenye Mada Husika!

Mashindano yawe Kuhusu Arusha Vs Mwanza
Nasio Chagga Vs Sukuma
Mwanza saivi Hawaishi Wasukuma tu kuna kila Aina
ya Kabila
Hii Hali ya Ukabila na Kujiona Bora Kuliko Wengine Nihatari sana Kwa Taifa .
Tuache Kuishi kwa Propaganda za Kizaman kuwa Ukanda Fulani Nibora kulilo Ukanda ule
Mambo hayapo Hivyo Dunia yaleo Unaweza Ishi na Propaganda hiyo Kumbe Unajipotosha mwenyewe Ukweli Upo palepale

Battel liendelee Weka Picha Acha Porojo
 
Kuna mtu kataja barabara, nimeangalia hii video Arusha ina barabara zimechoka sana.

Ukiondoa ile mpya ya njia nne ambayo nayo imezungukwa na vijumba vya ajabu zingine ni utopolo.

Barabara hazina vituo vya dala dala vya kueleweka.
Ni za kizamani zina mitaro iliyo wazi .
Hazina pavements za watembea kwa miguu.
Ukiwa mwanza sehemu za kuvuka watu zina taa maalumu za njano zinaflash, Arusha hamna nk.
 
Hata hyo dual carriage yao ,haivutii Tena,, garden zimechoka ,lami imeanza kupauka ,,,,,,,naamini makongoro avenue ikiwekewa taa itapendeza zaidi kuliko hyo road ya tengeru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom