Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Washamba mmepigwa kwenye mshono [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmeanza kuona mall juzi tena moja tu ndio mje mjilinganishe na arusha kweli? [emoji1787] Shamba city boys bana.
Hivi nyie mademu wa arusha mnashida gani?[emoji3]
 
Washamba mmepigwa kwenye mshono [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmeanza kuona mall juzi tena moja tu ndio mje mjilinganishe na arusha kweli? [emoji1787] Shamba city boys bana.
Sasa hapa sio ulaya hapa ni arusha....

Na hilo jengo floors 7 zilizojitenga ni mall ya kimataifa alafu arusha wala haturingi vitu vya kawaida sana[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Naona mnawadanganya ambao hawajafika mwanza bhana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Iyo mall sasa hivi imegeuzwa madarasa ya wanafunzi kwa kukosa tenants.....mda si mrefu wataweka na hostel kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi kwenu sasa[emoji3]
 
Anayo Arusha 3 na mwanza anayo 1.watu wanajua kutafuta pesa
Mnapost post mijengo ya wanaume tu

Wewe kavue dagaa huko 🀣🀣
We ka jamaa admit tu umeshindwa🀣🀣🀣 Umehamia kwenye comments za ki comedy comedy 🀣🀣🀣
 
Naona hata wewe umepost bila kuelewa, ukiacha dar hakuna mkoa mwingine unaizidi pwani kwa viwanda.
 
Washamba mmepigwa kwenye mshono 🀣🀣🀣 mmeanza kuona mall juzi tena moja tu ndio mje mjilinganishe na arusha kweli? 🀣 Shamba city boys bana.
Mwanza imepata mall before Arusha, sasa ni yupi aliyeona juzi kama sio arusha
 
Ulichopost hujakielewa, ngoja nikueleweshe, yaani ni hivi kiwanda kinaweza kuwa kiko mza ila wafanyakazi wake wengi kiasili ni wa hiyo mikoa tajwa.
Ni sawa na niseme zaidi ya nusu ya wadada wa kazi wanatoka mikoa ya singida, manyara, arusha
Acha ujinga kijana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Mabasi yanayofika hapo class yake mwanza hamna. Alafu who cares about stand yani? Tatizo watu wa mwanza wanataka stand ili wakapige picha, wakashinde hapo siku nzima, yani ushamba ushamba tu.
Acha kuruka ruka kama maharage jikoni. Kama hujui umuhimu wa kuwa na stand za kisasa Kaa kimya. Na stand Bora zinajengwa kwenye miji na majiji ya kisasa mpuuzi mmoja wewe. Mnazidiwa na sumbawanga, singida na korogwe kwenye suala hili.
 
Mji ukose stand halafu unategemea uwe na mall ya kishua πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…