Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ambacho najiuliza ni inakuaje arusha peke yake inakusanya zaidi ya mikoa yote ya kanda ya ziwa ukiichanganya??? Hivi hii mikoa iko serious kweliView attachment 2530961
Binafsi nastaajabu kuona shinynga wamewazid utajir [emoji23][emoji23].

Mapato ya TRA kwenu ni makubwa sabab kanda ya ziwa biashara nying hazilipi Kodi TRA mfano small scale fishing. Subir mwanza iwe promoted kweny utalii ndo utajua hujui
 
Hauna akili wewe binti [emoji1787] mwanza ndio mkoa wenye mabus mengi nje ya dar imagine stand mbili kubwa zote zimejaa mabus
Mwanza tuna
Benzi la bei mbaya analo Phoenix na nyehunge
Polo g7
Golden dragon
Yungtong
Zhongton
Sun long
King long
Asia star nk

Usisahau Kanda ya ziwa ndio inayo ongoza kua na matajiri wengi wa mabus nchii hiii[emoji1787]
 
Wanakuja sasa hivi kutoa povu kwa hii comment [emoji3][emoji3]
 
Unachokitafuta utakipata. Ngoja waje na picha za mabus [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Washamba mmepigwa kwenye mshono 🤣🤣🤣 mmeanza kuona mall juzi tena moja tu ndio mje mjilinganishe na arusha kweli? 🤣 Shamba city boys bana.
Kubishana na ZWAZWA ni kupoteza mate mdomoni AIM ware house si ya juzi tu au hata akili huna tunahangaika na kibaka.
 
Benz la Gharama analo Zuberi ile Mercedes Benz Neo Bus N10 New Road T 910 DNH lakini zile za Phoenix NI Bharat Benz za Kihindi Ni Gari za bei ndogo sana hata kwa kina Yutong hazioni ndani

Pia Polo G7 za Gharama anazo Katarama ambazo ni EBR lakini za Zuberi Pia ambazo zenyewe zimefanyiwa matengenezo hapa hapa Bongo (zilikua Dar Lux)
 
Mabasi yanayofika hapo class yake mwanza hamna. Alafu who cares about stand yani? Tatizo watu wa mwanza wanataka stand ili wakapige picha, wakashinde hapo siku nzima, yani ushamba ushamba tu.
Mabasi mazuri yote hayatumii hio stand yanatumia ofisi za Makao Mapya na Golden Rose

Hapo utakuta kina Osaka, Mbazi, Sai Baba, Kapricon, na mabasi ya aina hio ila mengine hayatumii hio stand
 
Yap lile benzi la zuberi Tajiri wa kisesa nmechanya na Ferrari [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…